Umeshinda nini mamndenyi?
Bora umpe zawadi mtoa mada kwa kutengeneza mlinganyo mzuri unao-hold.
Sijatest kujua uko valid kwa namba zote
Hizo hesabu zako ni sawa na kusema sita gawanya kwa mbili ni sawa na tatu.
Hazo ni MAGAZIJUTO.
Unapoigawanya namba kwa 2, halafu unaiondoa namba yenyewe unabaki na ile 6 uliyoongeza tu. So ukigawanya kwa mbili ni lazima ibaki 3.
Mchezo huohuo ukitumia kuongeza 8 badala ya 6 jibu litakuwa 4. Ukiongeza 4 jibu litakuwa 2.
Good stuff though...
Should be 0 - 9-ve number je, does it hold?
Au number sehemu? Eg btn -1 and 1
hamuamini hesabu yyangu iyo no ni -9 mkuu leo hamna chochote?
sijakupata mkuu!!!!shule ya kata hapa ila ningekuwa mtoto wa fisadi ningekupata pata!!!ila nahisi unahitaji hiyo namba,basi ni 0!!!!
hehehe jf banaShule niliyosoma hatukufundishwa hesabu.
mbona hamkusemaga.
sijakupata mkuu!!!!shule ya kata hapa ila ningekuwa mtoto wa fisadi ningekupata pata!!!ila nahisi unahitaji hiyo namba,basi ni 0!!!!
Hahahaaaaa......
La mshindi wa kwanza? naona unakumbukia Post ya 500.
yeah..thats correct..nakumbuka tuliitumia sana trick hii enzi hizo..Kweli ni kama MAGAZIJUTO.....ningeweza kusema fikiria number, zidisha mara tatu, jumlisha tisa, gawanya kwa tatu, alafu ondoa number uliyoanza nayo.....jibu ni tatu.
Should be 0 - 9