Pole sana mkuu,naona umeumiasana hauko pekeako wengi tunaumizwa sana nautendaji mbovu wa serikaliyetu.It’s 2023 , we have not progress kabisa In infrastructures . Leo kutoka Dodoma Dar ni shida . No buses no nothing .
Yani natumia 12 hrs kwa bus . Kweli ? When. Will people work . Serikali hii vipi ? Wana fanya nini sasa ? Au wengine Huko kuna kitu wanafanya ? [emoji706][emoji706][emoji706]
Maji shida ? umeme shida ? Usafiri shida ? Maisha Shida ? services mbovu ? Useless useless government
Serikali hii nini sasa kipo Sawa ? Tuambiane ??
Hili SGR ikifunguliwa na treni za umeme ndani ya miaka 20 kuanzia leo yaani 2043, niite mbwa nimekaa pale.Nota Bene: hata Magufuli angekuwepo bado isingefunguliwa. Hili siasa ilikuwa mingi kuliko ukweli.It’s 2023 , we have not progress kabisa In infrastructures . Leo kutoka Dodoma Dar ni shida . No buses no nothing .
Yani natumia 12 hrs kwa bus . Kweli ? When. Will people work . Serikali hii vipi ? Wana fanya nini sasa ? Au wengine Huko kuna kitu wanafanya ? 🚮🚮🚮
Maji shida ? umeme shida ? Usafiri shida ? Maisha Shida ? services mbovu ? Useless useless government
Serikali hii nini sasa kipo Sawa ? Tuambiane ??
It’s 2023 , we have not progress kabisa In infrastructures . Leo kutoka Dodoma Dar ni shida . No buses no nothing .
Yani natumia 12 hrs kwa bus . Kweli ? When. Will people work . Serikali hii vipi ? Wana fanya nini sasa ? Au wengine Huko kuna kitu wanafanya ? 🚮🚮🚮
Maji shida ? umeme shida ? Usafiri shida ? Maisha Shida ? services mbovu ? Useless useless government
Serikali hii nini sasa kipo Sawa ? Tuambiane ??
Mkumbe mnashida hivyo wabongoIt’s 2023 , we have not progress kabisa In infrastructures . Leo kutoka Dodoma Dar ni shida. No buses no nothing .
Yani natumia 12 hrs kwa bus . Kweli ? When. Will people work . Serikali hii vipi ? Wana fanya nini sasa? Au wengine Huko kuna kitu wanafanya?
Maji shida? umeme shida? Usafiri shida? Maisha Shida? services mbovu? Useless useless government
Serikali hii nini sasa kipo Sawa? Tuambiane?
Pia wamefanikiwa kuuza Ngorongoro na bandari. Wamefanikiwa sanaMnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni, mnawaonea sana serikali maana Kuna sekta nyingi sana wamefanikiwa, mfano sekta ya mikutano, upigaji, rushwa, kusafirisafiri mbona wanafanya vizuri. Si uwapongeze, sio vizuri. Wapongezeni wanapopatia.
Yaani hawaeleweki....Kwani ulikuwa promised kuipata hiyo SGR ndani ya muda gani??
Na hizo shida unazozisema sasa si ndizo zile kipindi Cha mwendazake mlikuwa mna sema Mzee vyuma vimekaza? kwanin mnakuwa wasahaulifu mapema hivyo
[emoji23] [emoji1787] [emoji38]Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni, mnawaonea sana serikali maana Kuna sekta nyingi sana wamefanikiwa, mfano sekta ya mikutano, upigaji, rushwa, kusafirisafiri mbona wanafanya vizuri. Si uwapongeze, sio vizuri. Wapongezeni wanapopatia.
Ndugu yangu, Tz watu wamepotezwa akili kufikiria mambo ya muhimu ya mu stakabali , changamoto/utatuzi na maendeleo yenye tija kuhusu nchi yao ,lakini badala yake wameishia kujazwa upofu wa kuishia kuendelea kujadili, mambo sijui ya bongomusic, kubet, Simba/Yanga, nk. kila kukicha...... kaazi kwelikweli.Uzembe wa viongozi wetu wanaacha kujadili mambo ya maana kama haya bungeni waanza kusifia mipira usimba na Uyanga this is rubbish.
Kababake![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni, mnawaonea sana serikali maana Kuna sekta nyingi sana wamefanikiwa, mfano sekta ya mikutano, upigaji, rushwa, kusafirisafiri mbona wanafanya vizuri. Si uwapongeze, sio vizuri. Wapongezeni wanapopatia.
Huyuhuyu Bi.Mchele![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hivi wewe kama una kaji-sherehe kako hata kama ni ka kufanyia nyumbani muite mama atakuja.
Magufuri mlisema anapenda mavitu SASA wamekuja watu wasiopenda maendeleo ya vituPole sana mkuu,naona umeumiasana hauko pekeako wengi tunaumizwa sana nautendaji mbovu wa serikaliyetu.
Kuanzia Dodoma kuja dar ni shida tupu ukifika Moro kuja dar ndio kabisa.
Africa tunaumizwa na ubinafsi wa viongozi wetu lakini iposiku.
Yani unasotanjiani masaa 13 kwa foleni unakuja kupata nafuu ukifika maeli Moja kibaha mpaka kimara mwisho.
Unajiuliza tuliwezaje kujenga barabara pana kama hii na nini kinacho tushinda kuendeleza barabara kama hii japo mpaka chalinze.
Tulia sasa hivi utaona vitu vinatua toka Korea baada ya sheria mpya ya manunizi kupita, japo vitakuwa na kutu lakini si haba.It’s 2023 , we have not progress kabisa In infrastructures . Leo kutoka Dodoma Dar ni shida. No buses no nothing .