Where Is Mwita25?

Where Is Mwita25?

Status
Not open for further replies.

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,927
Ni muda mrefu jukwaa limekuwa na utulivu wa hali ya juu, katika kujiuliza kwa nini naona kuna sura hazimo humu ndani pamoja na ya huyu mheshimiwa Mwita25. Hivi yupo wapi au jela? Au kabadili id?
 
alikuwa amekula BAN akaja na ID ambayo ilikuwa inaleta fujo sana humu ndani

Dah!! Kumbe.....ndio maana. Lakini jamaa anajua kweli kuchangamsha jukwaa.
 
Mwita25 amesafiri kwenda kijijini kwake Komuge wilaya ya Tarime, aliletewa taarifa ng'ombe wa baba yake wote wameibiwa. Akirudi na hasira za kuibiwa mtamkoma.
 
Ni muda mrefu jukwaa limekuwa na utulivu wa hali ya juu, katika kujiuliza kwa nini naona kuna sura hazimo humu ndani pamoja na ya huyu mheshimiwa Mwita25. Hivi yupo wapi au jela? Au kabadili id?

Nipo mkuu Katavi, kitu cha ban kimeisha jana saa 1 jioni. Hata hivyo ni kweli kuwa kwa muda nimekuwa kimya na pengine ni baada ya kujivua magamba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom