Where are you my lovely husband I need you now

Nakuhitaji sasa mume wangu mpenzi tuanze safari ya maisha pamoja... nimechoka living without you I want to hug you all night long am tired of hugging my pillow every night [emoji24] [emoji24]

Jitokeze sasa husband this loneliness is killing me softly...[emoji17] [emoji17] [emoji17]

it's not that am not getting approached hell no future hubby.. wananitongoza sana lakini sijaridhika hata na mmoja... nakusubiri wewe my super handsome..

you know what...Am keeping myself clean for you hubby... sitaki kuchafua k**** yako nimeitunza vizuri kwajil yako and I made a promise to God I will wait for my super handsome (hubby) for me to spread my legs again.. (it has been seven months now)

Dear hubby can't wait to cook for you... cant wait to kiss your lips... cant wait to get pregnant for you, can't wait to breastfeed your son...can't wait to meet your parents, sisters and brothers

Lastly dear hubby I do believe in life after death..that you either go to hell or paradise after death.. do you know what hubby??? Am a Christian & I will live my life praying for you ili uishe maisha ambayo yanampendeza Mungu ili ukifa roho yako ikapumzike kwa Mungu Baba kule paradiso where we shall meet again.

Ni hayo tu kwa leo hubby wangu to be.

Love my super handsome (husband)[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

*I believe my husband is here in JF one day I shall come with a testimony*

TALL, DARK, HANDSOME
Ni mimi wala usiumize kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wow..!!
What a lovely msg...thank u LORD!!

Mkewangu kipenzi,huna haja ya kuchoka wala kukata tamaa.
Am here!!

Ahsante kwa uaminifu wako na hongera sana kwa uvumilivu.

I thank God that he sent u in dis world.Otherwise I would have thought that the whole world is devoid of beauty.

My love 4u has come as a complete surprise!coz I've been waiting for so long for the miracle to come.
I wish I could show just one portion or one tenth of my heart to explain the glorious I have 4u.

Thanking my God for our supreme of ways,7monthis ago,I remember our first meeting in a dream;with the grace of God we had another chance of meeting only one day later and your eyes had told me of your feelings for me.

Thank you in a special way!!
To day u've made it real in public,that it is no longer a dream,but a true love story we share to the world.
I am real waiting for a throbbing heart.

I look forward to more frequent meeting for I am not very far away u, the jewel of my heart,the peace of mind and the vision of my eyes I will take u in my arms and u'll be my wife forever this I promise you.!!!

Yours and only yours
Husband to be(super handsome)
 
Umeanza vizuri sana, kwa hisia safi kabisa hadi nikaguswa.. Ila Umemaliza vibayaaa.. eti Dark, tall, handsome.. Really????? Mungu anaweza kukupatia mtu afu usigundue kwa kua umejiwekea vigezo vyako, just believe in God kua atakupatia mume akufaaye na utaendana nae achana na hayo mavigezo ya nje, just base on the inner personal and integrity of a person.. There are good husband materials ambao Hata hutaweza kuwaona sababu tu unaangalia the outer cover. Mwisho wa siku uishie kuzeeka au kuzaa tu na kulea mwenyewe. Ifike mahali binadamu wanawake tuwe matured. Tutambue utu wa watu sio tu kujali mionekano ya nje. Bad enough baadhi ya hao mahandsome wakidunia wakijijua ni pasua vichwa balaa full kuliza wanawake. Omba tu mume mwema, Mengine Mungu atakupatia tuu.. What you see is ugly today might happen to be ur most handsome man in the world..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mungu hutupa option ya kuchagua tunavyovipenda hivyo sioni alipokosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeandika kwa hisia kweli kweli......uwe hivyo hivyo ukishampata......umri unasonga....
 
Hata Mungu hutupa option ya kuchagua tunavyovipenda hivyo sioni alipokosea

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wanaobahatika kwa kupata yale wanayoyaona ni machaguo yao, hayo Yote ni mipango tu ya Mungu kabla hata hatujajipangia. Wapo wanao force hayo wanayodhani ni machaguo yao mwisho wa siku huishia kulizwa na kuumizwa.

Lakini haimaanishi kua tusiwe na vigezo vyetu ambavyo tutamuomba Mungu atujaalie maana Mungu nae tukisema yeyote anaweza kupa ambae hujamuombea na hautompenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuhitaji sasa mume wangu mpenzi tuanze safari ya maisha pamoja... nimechoka living without you I want to hug you all night long am tired of hugging my pillow every night [emoji24] [emoji24]

Jitokeze sasa husband this loneliness is killing me softly...[emoji17] [emoji17] [emoji17]

it's not that am not getting approached hell no future hubby.. wananitongoza sana lakini sijaridhika hata na mmoja... nakusubiri wewe my super handsome..

you know what...Am keeping myself clean for you hubby... sitaki kuchafua k**** yako nimeitunza vizuri kwajil yako and I made a promise to God I will wait for my super handsome (hubby) for me to spread my legs again.. (it has been seven months now)

Dear hubby can't wait to cook for you... cant wait to kiss your lips... cant wait to get pregnant for you, can't wait to breastfeed your son...can't wait to meet your parents, sisters and brothers

Lastly dear hubby I do believe in life after death..that you either go to hell or paradise after death.. do you know what hubby??? Am a Christian & I will live my life praying for you ili uishe maisha ambayo yanampendeza Mungu ili ukifa roho yako ikapumzike kwa Mungu Baba kule paradiso where we shall meet again.

Ni hayo tu kwa leo hubby wangu to be.

Love my super handsome (husband)[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

*I believe my husband is here in JF one day I shall come with a testimony*

TALL, DARK, HANDSOME
Nimeipenda hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini haimaanishi kua tusiwe na vigezo vyetu ambavyo tutamuomba Mungu atujaalie maana Mungu nae tukisema yeyote anaweza kupa ambae hujamuombea na hautompenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni Kweli ulisemalo, I agree. Walakini wangu ni pale tu wasichana au wanawake wanapokua too selective kwa ajili tu ya mitazamo ya nje. Mi mwenyewe mwanamke kuna baadhi yetu wanapenda show off kwa wenzao like aonekane amepata kijana mrefu sijui, handsome, kifua six packs, rangi ya kiume Sijui, yupo hewani, yaani full show off pesa ya ku show off, usafiri, yaani kuna baadhi ya wanawake hadi wanajisahau kua unaweza anza na Mwanaume wako kujenga maisha pamoja na mkafikia kumiliki vitu vingi tuu. Mambo Mengine tunamuomba Mungu yakitokea ndio hivo iwe tu na wewe bahati yako na Mungu alikupangia hivo Ila tusijisahau tuwe flexible, ukipata mtu tafakari uone Kweli ndiye, na ki ukweli Mungu ni mwaminifu hawezi kutupatia yaliyo mabaya watoto wake.

wallah dada mumeo amepata na allah (t.w) akujaalieni kila lenye khairat.
 
Back
Top Bottom