LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
Umemaliza kila kitu mama asanteYeah ni Kweli ulisemalo, I agree. Walakini wangu ni pale tu wasichana au wanawake wanapokua too selective kwa ajili tu ya mitazamo ya nje. Mi mwenyewe mwanamke kuna baadhi yetu wanapenda show off kwa wenzao like aonekane amepata kijana mrefu sijui, handsome, kifua six packs, rangi ya kiume Sijui, yupo hewani, yaani full show off pesa ya ku show off, usafiri, yaani kuna baadhi ya wanawake hadi wanajisahau kua unaweza anza na Mwanaume wako kujenga maisha pamoja na mkafikia kumiliki vitu vingi tuu. Mambo Mengine tunamuomba Mungu yakitokea ndio hivo iwe tu na wewe bahati yako na Mungu alikupangia hivo Ila tusijisahau tuwe flexible, ukipata mtu tafakari uone Kweli ndiye, na ki ukweli Mungu ni mwaminifu hawezi kutupatia yaliyo mabaya watoto wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app