Where are you my dream husband?

Kwa vigezo hivi.....Nakushauri tu uende sayari nyingine ndio utapata wa kukufaa
Jamaniii jf Kuna kila aina ya ushauri. Nashukuru but nipo Pm kuyajenga na watu serious. Usipende kuaminisha upendavyo wewe.Aksante.
 
Awe na GPA ya First class.
Awe CCM au TLP

Utaishia kuweka vigezo hutapata mtu.

Ilikuwa inatosha kusema unatafuta mume. Wakija ndio unachagua sasa unachagua kabla hawajaja loo! Salale kweli watu hawaishi vioja.
 
Mume ana sifa 4 tu;
1.awe rijali
2.mtafutaji
3.shujaa
4.awe na IMANI ya dini yake

Hivyo vigezo vyako labda unataka SHOGA!
Sifa Kuu mume

1 . He is not drinking
2, He is not smoking
3, He is not cheating
4, He never exist.
Husband material is created. Mengine naona huwa ni uongo tuu siku zisonge.
 
Kawaida mbona.Wapo mbona wanaoweza.masharti Haya Lengo tusijesumbuana.
Hakuna namna ya kuukwepa usumbufu ktk ndoa dada, ndio maana wazee wetu wakasisitiza uvumilivu, ukikosa hiyo kitu ktk maisha ya ndoa utaoa/olewa na kijiji au timu ya mpira.

Kila la kheri..!!
 
Mwenyezi Mungu akujaalie upate haja ya moyo wako.
NB:
Hapo kwenye degree, kwa umri wako huo na huyo unayemtaka, vyuo vilivyokuwa vinatoa digrii miaka hiyo vilikuwa vichache na wengi hawakujaaliwa kufika elimu hiyo... Mi naona ukimpata hata aliyeishia form four itakuwa poa tu... Akiwa mpambanaji siku hizi digrii zinapatikana kirahisi tu...
Najaribu kujiuliza, ktk mapenzi/ndoa degree inakazi gani??
 
Ni tumaini langu wote wazima.
_ Nipo Hapa kumtafuta Soul mate Wa maisha Ambaye ana uhitaji Wa kuanzisha familia Na kutulia kwa kuzingatia kwamba Mungu alituumba kila MTU Na MTU wake kwa muda aliopanga Mungu.Hata ikichelewa.
Kama kwa Bahati mbaya sijapata kote Na moyo Wangu ukanisukuma nije Hapa naamini Mungu atanisaidia na Nina imani kubwa ya kumpata 1 sahihi.
Sifa za Mchumba ninayewish:
1.Awe mweusi Na mrefu mwenye nyama nyama(Sina maana mbaya Hapa, Nina maana Sio mwembamba sana)plizzz asiwe mfupi(mrefu anajijua)
2.Awe na Degree Na kuendelea mbele
3.Awe Na kipato cha kuendesha maisha
4.Awe mkristo (Lutheran au morovian au cathoric itakuwa nzuri.
5.Umri kuanzia 35-46
6.Awe hajawai kuoa hapo nyuma ndoa yoyote ile.(iwe bomani au kanisani)
7.Akiwa Na Mtoto Mmoja au wawili Sio mbaya nitawalea kama Wangu)
8.Awe Na hofu ya Mungu, awe Na Upendo Wa Dhati,awe mwenye Huruma,tujaliane nyakati zote.Anijali.Anibembeleze( Napenda kudekezwa(sifa ya mwanamke hii)
9.Awe anaishi Dar.
10.Awe serikalini au mwajiriwa binafsi
SIFA ZANGU
1.Nina miaka 32
2.Mwajiriwa Serikalini
3.Nina Degree( vyeti original)
4.Nina Mapenzi Na Huruma ya kweli
5.Najitegemea( nimeshaanza maisha)
6.Nina Mtoto 1( sijawai olewa)
7.Rangi maji ya kunde
8.Mrefu wa kati ( umbo la kike)
9.Mtoto pekee kwa Baba mzazi.
10.Nimekomaa kifikra Na kiakiri .
NB:Mengine kwa aliye na utayali Pm
Pia id mpya kwa jili ya kutoa utani.Nipo
more than serious.
Utani ,kejeli sitapenda.Nitapokea ushauri wa kujenga.Mungu Nisaidie kwa hili hitaji langu.Atokee MTU sahihi Ambaye atakuwa Tayari kuanza familia. Ndani ya mwaka huu.
Pia nilichojifunza Kikubwa aina ya maisha ya MTU inaweza pelekea kutopata au kuchelewa tena kiutani tani.Mfano kazini nyumbani unajifungia,au kuwa busy sana.Au unavyojiweka MTU anajua unaye MTU.Hii imenitokea namwambia MTU Unajua seriously sina MTU Watu wanakataaa Na kujua im joking ( au nachagua sana au unakutana Na MTU mnatofautiana kibinadamu(kwa kukuficha baadhi ya mambo so Tuwe wa kweli tokea mwanzo) pia najua vigezo vyangu hapo juu kuwaxclude baadhi ya watu nitapingwa. But jamani tuwe wakweli. .mbona hata wanaume mna preference zenu mfano mwembamba,mweupe au mnene.So msielewe vibaya.Nimejitetea sana ili kupunguza malalamiko.Wapo Watu Sasa ivi wanasubiri MTU a post waanze Kumponda Na kukatisha tamaa.
Poleni kwa gazeti refu.
Aksanteni.
Hiyo namba 6, mhhh.. hujawahi kuolewa wakati tayari una mtoto? na Unasema unataka ambaye ajawahi kuoa, Unadhani nini kilitokea kwa uliyezaa naye? Anyways Nadhani unahitaji ku review hivyo vigezo vyako ili uweze kufikia Ndoto zako.
 
Alikuwa Mchumba.Hatukufika kwenye ndoa.
 
Ni tumaini langu wote wazima.
_ Nipo Hapa kumtafuta Soul mate Wa maisha Ambaye ana uhitaji Wa kuanzisha familia Na kutulia kwa kuzingatia kwamba Mungu alituumba kila MTU Na MTU wake kwa muda aliopanga Mungu.Hata ikichelewa.
Kama kwa Bahati mbaya sijapata kote Na moyo Wangu ukanisukuma nije Hapa naamini Mungu atanisaidia na Nina imani kubwa ya kumpata 1 sahihi.
Sifa za Mchumba ninayewish:
1.Awe mweusi Na mrefu mwenye nyama nyama(Sina maana mbaya Hapa, Nina maana Sio mwembamba sana)plizzz asiwe mfupi(mrefu anajijua)
2.Awe na Degree Na kuendelea mbele
3.Awe Na kipato cha kuendesha maisha
4.Awe mkristo (Lutheran au morovian au cathoric itakuwa nzuri.
5.Umri kuanzia 35-46
6.Awe hajawai kuoa hapo nyuma ndoa yoyote ile.(iwe bomani au kanisani)
7.Akiwa Na Mtoto Mmoja au wawili Sio mbaya nitawalea kama Wangu)
8.Awe Na hofu ya Mungu, awe Na Upendo Wa Dhati,awe mwenye Huruma,tujaliane nyakati zote.Anijali.Anibembeleze( Napenda kudekezwa(sifa ya mwanamke hii)
9.Awe anaishi Dar.
10.Awe serikalini au mwajiriwa binafsi
SIFA ZANGU
1.Nina miaka 32
2.Mwajiriwa Serikalini
3.Nina Degree( vyeti original)
4.Nina Mapenzi Na Huruma ya kweli
5.Najitegemea( nimeshaanza maisha)
6.Nina Mtoto 1( sijawai olewa)
7.Rangi maji ya kunde
8.Mrefu wa kati ( umbo la kike)
9.Mtoto pekee kwa Baba mzazi.
10.Nimekomaa kifikra Na kiakiri .
NB:Mengine kwa aliye na utayali Pm
Pia id mpya kwa jili ya kutoa utani.Nipo
more than serious.
Utani ,kejeli sitapenda.Nitapokea ushauri wa kujenga.Mungu Nisaidie kwa hili hitaji langu.Atokee MTU sahihi Ambaye atakuwa Tayari kuanza familia. Ndani ya mwaka huu.
Pia nilichojifunza Kikubwa aina ya maisha ya MTU inaweza pelekea kutopata au kuchelewa tena kiutani tani.Mfano kazini nyumbani unajifungia,au kuwa busy sana.Au unavyojiweka MTU anajua unaye MTU.Hii imenitokea namwambia MTU Unajua seriously sina MTU Watu wanakataaa Na kujua im joking ( au nachagua sana au unakutana Na MTU mnatofautiana kibinadamu(kwa kukuficha baadhi ya mambo so Tuwe wa kweli tokea mwanzo) pia najua vigezo vyangu hapo juu kuwaxclude baadhi ya watu nitapingwa. But jamani tuwe wakweli. .mbona hata wanaume mna preference zenu mfano mwembamba,mweupe au mnene.So msielewe vibaya.Nimejitetea sana ili kupunguza malalamiko.Wapo Watu Sasa ivi wanasubiri MTU a post waanze Kumponda Na kukatisha tamaa.
Poleni kwa gazeti refu.
Aksanteni.
Kilichokufanya na kitakachokufanya usipate mtu sahihi ni tabia yako ya kupenda show off, wanaume wengi hatupendi kuoa wanawake wanaopenda show off kama wewe, mambo ya urefu na ufupi yanahusiana nini kwenye mahusiaono kama sio ulimbukeni. Badilikeni mtaishia kuchezewa hivyo hivyo, ungeficha hata hiyo sifa ya urefu na ufipi.
 
Hebu tusaidie kidogo hapo kwenye sifa ya urefu kwa kutaja sm za urefu unaoutaka. Vinginevyo ataomba Hashimu Thabiti peke yake
 
Acha kujidanganya mpenzi atafutwi mitandaoni...na ukimpata yataishia kimtanda tandao tuuu
Sio kweli

Acha kujidanganya mpenzi atafutwi mitandaoni...na ukimpata yataishia kimtanda tandao tuuu
Aksante.Swali Dogo tu.Kwa nini wewe umeacha majujwaa ya mapishi kama vile kujifunza Kalmati na Bagia ukaingia humu.Ukinijibu.Nitaanzia hapo kukuelewesha.
 
Awe na GPA ya First class.
Awe CCM au TLP

Utaishia kuweka vigezo hutapata mtu.

Ilikuwa inatosha kusema unatafuta mume. Wakija ndio unachagua sasa unachagua kabla hawajaja loo! Salale kweli watu hawaishi vioja.
Nimechekaaaa sana.Aksante.
 
Preciouss? itika basi beee kwa ile sauti ya kike! Bandiko lako ni zuri sana maana linachujaa mwenye sifa stahiki na asiye na sifa stahiki. Kikubwa wewe ndio muamuzi wa yote. Achana na kejeli za hapa jamvini au matusi kwa sababu wewe sio wa kwanza kutukanwa.

Hata sisi wanaume tuna sifa tuzitakazo kutoka kwa mwanamke ndio maana wapo wana-oa na wanawake kuolewa, na pia wapo wanaume wasio-oa (bado wanatafuta wenye sifa wazitakazo) na pia wapo wanawake wasio olewa ambao nao wanatafuta wanaume wenye sifa wazitakazo.

Kikubwa ni umakini unatakiwa. Ujue kutofautisha kati ya true love na tamaa. Ukiwa na tamaa utamchagua mwanaume mwenye pesa na magari kama ilivyo ada kwa wanawake wengi wanavyopenda wenye pesa zao lakini hawajui hizo pesa zimetafutwaje. Kwa upande wa pili ukiwa mwerevu utamchagua mwenye upendo wa kweli hata kama ni mchoma mkaa au analala chini lakini kwa kuwa ana upendo wa kweli basi mnaweza mkaanza maisha pamoja na makshikirikiana vema na mkawa na maisha mazuri.

NB: Mimi sina vyeti orijino, niliishia tu darasa la saba na elimu yangu ni ya hapa na pale. Kwa sasa nabeba mizigo na matoroli lakini natamani siku moja nipate mke mzuri na mkali (soma sahihi yangu hapo chini). Kama hutajali basi nitumie PM kuonysha ushirikiano ili tuanze safari pamoja.

Ila sisi wabeba mikokoteni tuna shida sana yaani demu hata awe mkali tunakula kwa macho tu barabarani na hawatutaki kabisa kisa hatuna hela. Lakini ipo siku Mungu atajibu maombi.

Nikutakie kila lakheri Preciouss na Mungu akupe wa ubavu wako unayemuota kila siku za maisha yako.
 
Nashukuru sana ndugu yangu.Lakini nilishajua yote yatatokea.Bht nzuri.Siwezi kuendelea kuwajibu watu wa aina ya wasiolewa maana yangu.Pia Aksante. Nimekuona.Usijali utakuja kupata tu MTU sahihi.Pia sijamaanisha kwamba nabagua Bali Lengo kuendana na moyo Wangu unavyotaka.Maana naamini kila MTU hupenda aina Fulani ya MTU.Mbona siku sema mweupe,na wengi hupenda weupe.Pia Wote mliokuja Pm nawashukuru sana.Na natambua mlikuwa Na nia ya dhati.Lakini ukiona sikujibu usijisikie vibaya.Maana nafasi Ni kwa MTU mmoja.Na Tayari nimempata.Sipendi kuwapa matumaini watu wengi wkt wangetumia muda huo kuangalia Bahati zako kwa post zingine ambazo Ni nyingi.Aksante.
 
Similar Discussions

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom