Where are you my dream husband?

Ni tumaini langu wote wazima,

Nipo hapa kumtafuta Soul mate wa maisha ambaye ana uhitaji wa kuanzisha familia Na kutulia kwa kuzingatia kwamba Mungu alituumba kila mtu na mtu wake kwa muda aliopanga Mungu. Hata ikichelewa.

Kama kwa bahati mbaya sijapata kote na moyo wangu ukanisukuma nije hapa naamini Mungu atanisaidia na nina imani kubwa ya kumpata 1 sahihi.

Sifa za Mchumba ninayewish:
1.Awe mweusi na mrefu mwenye nyama nyama(sina maana mbaya hapa, nina maana sio mwembamba sana)plizzz asiwe mfupi(mrefu anajijua)
2.Awe na Degree na kuendelea mbele
3.Awe na kipato cha kuendesha maisha
4.Awe mkristo (Lutheran au morovian au cathoric itakuwa nzuri.
5.Umri kuanzia 35-46
6.Awe hajawai kuoa hapo nyuma ndoa yoyote ile.(iwe bomani au kanisani)
7.Akiwa na mtoto mmoja au wawili sio mbaya nitawalea kama wangu)
8.Awe na hofu ya Mungu, awe na upendo wa dhati, awe mwenye huruma, tujaliane nyakati zote. Anijali. Anibembeleze( Napenda kudekezwa(sifa ya mwanamke hii)
9.Awe anaishi Dar.
10.Awe serikalini au mwajiriwa binafsi

SIFA ZANGU
1.Nina miaka 32
2.Mwajiriwa Serikalini
3.Nina Degree(vyeti original)
4.Nina mapenzi na huruma ya kweli
5.Najitegemea(nimeshaanza maisha)
6.Nina mtoto 1(sijawai olewa)
7.Rangi maji ya kunde
8.Mrefu wa kati (umbo la kike)
9.Mtoto pekee kwa Baba mzazi.
10.Nimekomaa kifikra na kiakiri.
NB:Mengine kwa aliye na utayali Pm
Pia ID mpya kwa jili ya kutoa utani.Nipo
more than serious.

Utani, kejeli sitapenda. Nitapokea ushauri wa kujenga. Mungu nisaidie kwa hili hitaji langu. Atokee sahihi ambaye atakuwa tayari kuanza familia. Ndani ya mwaka huu.
Pia nilichojifunza kikubwa aina ya maisha ya mtu inaweza pelekea kutopata au kuchelewa tena kiutani tani. Mfano kazini nyumbani unajifungia, au kuwa busy sana. Au unavyojiweka mtu anajua unaye mtu.

Hii imenitokea namwambia mtu unajua seriously sina mtu watu wanakataa na kujua iam joking (au nachagua sana au unakutana na mtu mnatofautiana kibinadamu(kwa kukuficha baadhi ya mambo so tuwe wa kweli tokea mwanzo) pia najua vigezo vyangu hapo juu kuwaxclude baadhi ya watu nitapingwa. But jamani tuwe wakweli mbona hata wanaume mna preference zenu mfano mwembamba, mweupe au mnene. So msielewe vibaya. Nimejitetea sana ili kupunguza malalamiko. Wapo watu sasa hivi wanasubiri mtu a post waanze kumponda na kukatisha tamaa.

Poleni kwa gazeti refu.

Ahsanteni.
Kumbe used afu masharti kama mganga..!
 
Hivi nyinyi wanawake mnadhani degree ndo inarisha familia au kwa nn msiweke awe na kipato tu kudadadeki,endeleeni na hich9 kigezo sasa
 
Great , what a great and impresive CV you have my sister, only one problem, when it cames to is
ues of GOD, pls note morovian, lutheran, catholic anglican those are just "RELIGIONS" and religions are not what one needs as a christian NO NO NO you need a GENUINE RELATIONSHIP WITH YAHWEH, or GOD of abraham isaac and jacob which is made possible by the birth, life, death and resurection of his only begotten son christ, YESHUA HAMASIAH.hope you got my point.get in touch we see possibilities.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom