Where are you my dream husband?

0786133416 pm inagoma nitafte kwa hzo namba sifa zooooote ninazo na uhitaji pia
 
aisee kama degree hana asijisumbue masharti mengiiii halaf mnakuja kutafuta wachumba mitandaoni

Sijui anataka amuajiri. Wewe degree ya mtu inakuhusu nini.? sijui anataka mume ama anataka degree.?

Eti abembelezwe, anapenda kudekezwa. Shabaaaash..!
 
Dada yangu amekusikia...atajitokeza...hii post imeniuma sana kwa kuwa inaonekana upo serious sana...Hope Mungu atakuletea soul mate wako siku si nyingi...Best of Luck
 
Nashaur Punguza vigezo kwa mwanaume au vitoe kabisa..kiache kimoja tu..awe anaweza maisha na anaweza kuku Manage na kukuongoza...Ahsante kwa kunielewa
 
Kwanini usiyajenge na baba wa huyo mtoto wako Kama yupo hai mfunge ndoa?

Otherwise kile la kheri
 
Hizo ni dalili za frustrations,umri mzuri wa mwanamke kuolewa ni kuanzia 18 to 30 yaani hapo wewe umekuwa used hadi basi afu unakuja na vigezo na masharti meeengiiii.any way kila raheri kwenye windo lako
 
Ungekuwa mganga wa kienyeji usingepata wateja maana masharti ni mengi mno kuliko dawa.
Sina nia ya kukuudhi na sio kusudio langu.
Ungepunguza masharti maana kwanza Umuri umeshasonga sana kwa upande wa mwanamke anaetamani kuanzisha familia. Pili tayari unamtoto 1, hii inawapunguza sana nguvu wanaume wengi na pia hupunguza sana utulivu ktk ndoa maana mapenzi kwa wazazi hayafi ila huzimia tu. Kigezo cha elimu ni changamoto kubwa maana wanaume wengi wenye elimu hiyo washakutana na warembo wengi mno toka wanasoma mpaka kuajiriwa, wanajiamini na mara nyingi ni wapenda vitu vipya na kuhofia macho ya maclassmet wanao au wafanyakazi wenzao kuoa mwanamke mwenye mtoto tayari.
Watoto wapekee ktk familia hudeka sana hasa wakike so wanaume huwaepuka kuepuka lawama/makelele/kero toka kwa ndugu au wazazi pindi tofauti zinapijitokeza ndani ya ndoa.
Wanawake wanye elimu yako na kazi juu huogopwa na wanaume wengi kwakuwa huwa na kiburi/jeuri/majigambo na kujisikia kwingi hasa wanapokuwa wameolewa na mwanaume asiyekuwa na elimu ya kutosha hata kama anapesa zake za kutosha.
Mwisho wa yote muomba Mungu hachoki, akichoka keshapata.
 
Mtoa uzi uliona wapi timu mbili kabla ya match mtu awe na goal (mtoto) tayar
Upo kipind cha kuandika tangazo nakusema
"NATAFUTA MUME ATAKAE NIPENDA NA KUNIJARI"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom