Where Are They Now??

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
91,404
109,395
Chris Eubank-British middleweight and light heavyweight boxer who was very cocky and full of himself....
Prince Naseem Hamed-another Brit boxer, very stuck up and flashy...
Bros-Brit singing duo of the late eighties...

Adina Howard-RnB singer
Tone Loc-West Coast Rapper

Tabasamu Ngongoseke-Miss Tanzania
 
I know of Tabasamu ngongoseke who now goes by the name Lucy Kihwele. She is working for Multichoice Tanzania and is married to a Mr. Kihwele. Multichoice is a cable company.
BigBrother.jpg
 
I know of Tabasamu ngongoseke who now goes by the name Lucy Kihwele. She is working for Multichoice Tanzania and is married to a Mr. Kihwele. Multichoice is a cable company.
BigBrother.jpg

Dizzayuuum!!!!....Is that her in the picture?
 
Ooooh...na huyu....alikuwa ni host wa vipindi vya watoto ITV. Ana mwili mdogo mdogo(petite)....jina ( I think it's anaitwa Tumaini somebody) limenitoka kidogo ingawa nimesoma naye shule ya vidudu ya Shirika la chakula na lishe (TFNC) pale Ocean road.....anybody know what she's up to these days? married? kids? single? kachoka?
 
Huyu Chris Eubank aka (thimply the betht) amekuwa bankrupt , the brother is totally BROKE, after years of lavish life style, huyu kaka baada ya kuacha ndondi hakubadili life-style yake , kipato kinachoingia ni kidogo kulinganisha na matumizi, nasikia hata kuishi anababaisha tu anahamahama kwa ufadhili katika nyumba za rafiki zake, mara leo kwa Lennox mara yuko Marekani alimradi siku ziende, nasikia hata wanawe wawili wakubwa wa kiume kamgawia (gave them to adoption) rafiki yake Marekani, (hawezi kuwahudumia ipasavyo) Inasikitisha kweli aisee!!!
Na huyu prince Naseem yeye baada ya kutoka jela yupoyupo tu ila nilisikia anajifua gym kurudi ulingoni! kwa upande wa hela Naseem bado anatweta, ameji-invest kidogo na familia yao ni watu wa biashara, bado anaishi Sheffield.
 
bwahahahahaha, kumbe bonge la 'tozi' wewe mtoto!! ati, kachoka!? unataka kujua kama kachoka and then what? wabongo bwana..kaaaazi kweli kweli. Majungu na umbea mtupu, dume zima unaleta mambo ya mabinti! utasutwa, ebo! au ndio unathibitisha u-queer wako?? by the way dipso mwenzako Woody Allen ana mpya inatoka kesho teh teh teh inaitwa Vicky Cristina Barcelona..ni special kwa 'mananilii' kama wewe! LOL, mchukue patna wako mkajiridhishe.

Tatizo lako wewe kule kwenu Bunju kulikuwa hamna Kindergaten au hata kitu kinachofanana na Kindergaten na matokeo yake hukupata headstart nzuri katika kuongea, kusoma, kuandika, kuwa na adabu, na mengine mengi yanayohusiana ustaarabu. Sasa hapo juu ndo umezungumza nini na ukowapi uhusiano wa ulichoandika na mada? Ungeandika huo utumbo wako kwenye udaku ningekuelewa. Get it Ms. Strawberry Shortcake...?
 
Eubank alikuwa anaishi kama Royal, Suti zake ni 'tailor made' na huyo tailor wake ni one of the best in London, wale mafundi wanaoshonea ma-royal na watu wenye title zao, hio Mansion yake huko Brighton ni high maintenance, anaendesha ten wheels 32ft American Peterbilt Truck mjini London?, ukiangalia barabara za London na parking utaona ni ujinga, kila siku walikuwa wanamlima parking penalties, alinunua title na alijulikana kama "Lord of the Manor of Brighton" alikuwa anatembea na walking stick kama mwinyi wa bagamoyo! Huyu bro ana visa sana.
 
Ooooh...na huyu....alikuwa ni host wa vipindi vya watoto ITV. Ana mwili mdogo mdogo(petite)....jina ( I think it's anaitwa Tumaini somebody) limenitoka kidogo ingawa nimesoma naye shule ya vidudu ya Shirika la chakula na lishe (TFNC) pale Ocean road.....anybody know what she's up to these days? married? kids? single? kachoka?

...Tumaini Meshack
 
Duh ebanae umenishtua kidogo. Umesoma daycare center ya TFNC? Yaani mimi nimejifunzia kusoma na kuandika palepale.....
 
Usijekuta wewe ndio kale katototundu kalikokuwa kanaruka ukuta kila siku na kutaka kuvuka barabara kwenda kuogelea kule baharini....lol

ahahahahahahahaaaa.....ebana eeeh sasa unaniogopesha hapa mwenzio maana nilikuwa napenda sana kuangalia bahari...si unajua kwenye mida ya saa nne/ tano asubuhi maji yanaenda kuchunga halafu yanaanza kurudi mida ya jioni....nilikuwaga amazed sana na hiyo kitu ukiachia meli zilizokuwa zinakaribia kutia nanga bandarini.....

I even had a crush on some girl that was going there too....hahahahahahaaa.....
 
Duh long time....sidhani hata kama nakumbuka wasichana waliokuwa pale....kuna mmoja alikuwa anakaa Regency...jina hata silikumbuki...

Ila kuna washikaji wawili watatu nawakumbuka....
 
Duh long time....sidhani hata kama nakumbuka wasichana waliokuwa pale....kuna mmoja alikuwa anakaa Regency...jina hata silikumbuki...

Ila kuna washikaji wawili watatu nawakumbuka....

Ninayemkumbuka mimi ni huyo demu tu....I don't know her whereabouts but I still remember her. She was a cute little pumpkin....damn I miss her....
 
Ninayemkumbuka mimi ni huyo demu tu....I don't know her whereabouts but I still remember her. She was a cute little pumpkin....damn I miss her....

Ha ha haa itabidi umtafute tu ili u-check usawa...

Mimi nakumbuka mida fulani ya mchana hivi, tulikuwa tunalazimishwa kwenda kutake nap. Basi nilikuwa natoroka na kwenda kujichanganya kule maofisini...
 
Naumbuka sana hayo mambo ya nap....mi zangu ilikuwa kuwachokoza wale waliosinzia (hasa yule demu wangu Sema..n..li.....ahahahahahaha....duh...long time kishenzi yaani.....
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom