Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 186
Habari yake 101....Kings paris!Yawezekana ulifanya kosa....mwenzio labda alikuwa anataka kuhakiki kama unayo baioloji.....itakuwaje siku ya harusi ndo mnaingia honeymoon unamkuta mwenzio hana baioloji au ana baioloji mbili........ au ukute ana baioloji kama ya punda..........au ukute mtarimbo umelala doro........au ukute ana kibamia kama bamia ya bagamoyo iliyokosa samadi............hatarrr sana hii......bora utest kwanza bana Na babu na mkongojo wake......panakuwa hapatoshi Hahahaha....tenda imesepa mtoto analalama..... wamemchukulia wajanja...
mhhhhh mbu, kuna wengine wanazipita kama hawazioni vile
...nice! ...wimbo umetulia na msg delivered aisee...pheeewww!
Gaga, ubarikiwe!
Chauro, acha uchuro bana! waturusha stimu ilhali toothpaste, mouthwash, na dental floss zimejaa madukani?
Halafu we mtoto wewe??????
Anakumbushia morning glory mnyange wako huyo
kafanyaje tena mnyange wangu huyo gaga.....mmh..
si ndo imekufanya asubuhi asubuhi eti unatuzuga na Shania Twain apa kumbe mambo mashallah
Wallah vile huu wimbo unanipa manyigu ya kufa mtu
Sweetie am shaking with fear, huyu mdada is always smiling let alone akipata morning glory...lol
Unajifanya hukumbuki sio eeee, kwamba hii kiss nilivoipata kwenye morning glory ndio nikaja kuchekacheka humu na hii thread eeeee
now worry not she is just in one of her sweet moments..
I hope she is kind enough to acknowledge the role we MEN play in making her happier and happier.....everyday...lol