pia hizi picha zilikuwapo michuzi na mjengwa
kuna kosa gani hapo?
JF tuwe wakweli picha zetu nyingi tunachomoa kwenye blogs za wengine bila hata kutaja source.
Tunapojipongeza tusisahau kuwapongeza kina michuzi na wengine tunakocopy hasa picha.
JF itoe zawadi basi kwa wanaoleta inshu za ukwee!
I have just been reading the BBC coverage of Kanumba's death. I was pleased to see that they used JF's photo in their coverage. See BBC News - Kanumba funeral: Thousands mourn Tanzanian actor
Nadhani sasa tukubaliane kwamba JF imekuwa chanzo kikuu cha taarifa tunazipata kabla ya wananchi wengi na vyombo vingi kutangaza au kuandika ,Bravo JF members.mods and owners
WoS chukua pongezi zangu maalum kwa kuwa post yako mojawapo hapa JF kuhusu Lulu imetoa 50% ya makala moja ya Raia Mwema: with credits.Sitaki kuamini ati JF ndio source ya UDAKU LO!
Leo pia ni kumbukumbu ya kifo cha Stephen Kanumba . RIP Stephen KanumbaMkuu Kitila Mkumbo, kiukweli jf inaheshimika sana tuu. Kuna issue niliwahi kuipost humu jf, kesho yake ikashushwa front page ya gazeti fulani "para material" bila kubadili kitu!.
Naamini ni kufuatia hii reputation jf ni very reliable sorce of info kuhusu TZ.
Ukiaminiwa, jiaminishe, as jf members tuna jukumu la kui maitain hii reputation kwa kumaitain truthfulness, objectivity, impartiality na balancing kwenye issues tunazoshusha humu jf.
SalaamI have just been reading the BBC coverage of Kanumba's death. I was pleased to see that they used JF's photo in their coverage. See BBC News - Kanumba funeral: Thousands mourn Tanzanian actor