When i need you!

Haya lete upesi...naisubiria kwa hamu.

Dear SL,
Baada ya kupendezwa na jina unaloniita, nimeonelea kuwa itakuwa busara kama ntali officialize kuwa nick name yangu.

Kwa heshima na taadhima naomba idhini yako kama mmiliki halali wa jina hilo kwa sasa.
 
Dear FL,

Sitaki manake umeandika dear Fl, rekebisha kabla sijanuna!
 
Dear SL,
Baada ya kupendezwa na jina unaloniita, nimeonelea kuwa itakuwa busara kama ntali officialize kuwa nick name yangu.

Kwa heshima na taadhima naomba idhini yako kama mmiliki halali wa jina hilo kwa sasa.
Hehehe! Maombi yako nayafanyia kazi M' Jr ..
 
Usinune we...napenda ukitabasamu!
Wewe every day.....napenda utabasamu!!

Habari yako chipenzi??
Me miss wewe kweli..:A S-heart-2::A S-heart-2:
Thanks Kipipi, yaani kwaajili yako nimecheka kabisa...lol.

Mimi penda wewe sana... Barikiwa sana!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom