When i need you!

Shem mi mzima kabisa ila Amy sijamuona tangu asubuhi....alikuwa na kikao na wageni kazini kwake....
Nimekumiss sana shem
Na mie pia shem,ila ndio km hivo siku hazifanani mpaka naadimika!

Nyie mnanicheka wakati hilo ni jambo la heri jaman!
 
Hahaha hahaha,yani ndio unanicheka ivo?
Japo inasumbua but nafurahia ndoa yangu kujibu,
Mda si mrefu Rejao ataitwa baba lol!

Kwenu huko baridi haijaleta madhara?
Hahahahaaa hope mtoto hatakuwa na ka pua karefu kama ka baba ake....Lol!

Huku watu wote wame celibate sijui ndio linavyoandikwa hilo neno?
 
Dah! age nilokua nakuplace nilikua naku over estimate... naona Avatar hua
yanidanganya....lol. Kama lyrics za Celline ulikua Form two.....

Habari yako Musimo jr?

BTW I love the song, imenifanya nikumbuke "It is all coming back to me now" wa Celline.

AshaDii huwezi amini mpaka leo Its all coming back to me huwa unaniliza nikiusikiliza. Na huwa naweka cd yenye huo wimbo nikiwa down tu na mara zote huwa na end up in tears. Usiniulize kwa nini please.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa hope mtoto hatakuwa na ka pua karefu kama ka baba ake....Lol!

Huku watu wote wame celibate sijui ndio linavyoandikwa hilo neno?
Yani nitafurahi sana akitoka na bonge la jipua maana baba yake atafurahi sana!
Hilo neno lako hapowala sijalielewa kbs!
 
Dah! age nilokua nakuplace nilikua naku over estimate... naona Avatar hua
yanidanganya....lol. Kama lyrics za Celline ulikua Form two.....

Habari yako Musimo jr?

BTW I love the song, imenifanya nikumbuke "It is all coming back to me now" wa Celline.
Nzuri Da AshaDii, habari ya siku nyingi?

I am just the way u imagined..................
 
Yani nitafurahi sana akitoka na bonge la jipua maana baba yake atafurahi sana!
Hilo neno lako hapowala sijalielewa kbs!
Lina maana watu wameamua hata kama kuna baridi namna gani njia pekee ya kujilinda ni kuvaa makoti na kujifunika mablanketi sio yale yanayosababisha kuingia kwenye chama chako
 
Si nilijidai nagawa dozi kutwa mara 3,
Haya ndio matokeo yenyewe,na si mchezo!!!

Fanya unipe hiyo zawadi mapema lol!
Hahahahaaa haya nami ntakupa zawadi naiandaa hapa.......
Najua kuna wenzio watajiunga muda si mrefu...........kongosho where are u?
 
Lina maana watu wameamua hata kama kuna baridi namna gani njia pekee ya kujilinda ni kuvaa makoti na kujifunika mablanketi sio yale yanayosababisha kuingia kwenye chama chako
Hahaha hahah hahha,
Hapo mnadanganyana,nasubiri mpaka mwezi wa saba au wa nane mionekano yao itajieleza tu,

Chezeiya baridi ww!blanketi chapa mtu halikwepeki!!!
 
Hahahahaaa haya anzeni kutafuta jina la chama chenu mama
 
Hahahahaaa haya nami ntakupa zawadi naiandaa hapa.......
Najua kuna wenzio watajiunga muda si mrefu...........kongosho where are u?
Naisubiri zawadi kawa hamu jaman,kwan si mchezo atiii!

Nipo nasubiri wanachama waje yuunde umoja wetu na kusajili chama!
 
Inabidi uweke matangazo ili wajitokeze mi ntakusaidia kupita mtaani na vile vipaza sauti vya kutangazia dawa ya mende ili kutangaza upate member wapya
 
Hahahah hahha hahah,
Hawa nitawavizie clinic maana kule lzm waje,
Nikiwa huko nakua bize na story za jf ntawapata tu!
 
Halafu mnachekana, we tumbo lako kubwa sana kuliko la kwangu eeh?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom