When Does the Infatuation ends.......?

Kwa ushahidi wako dada ni kuwa unawezaishi under inftuation hata kwa miaka miaka mi5 mpaka pale zitakapojitokeza sababu???

Mbu is another aisee.........kama ni infatuation ninapiga goti sasa hivi kuiombea iwe kweli mpenzi....he completes me

inawezekana tamaa zikadumu muda mrefu kama utataka zidumu. Kama umemtamani flani ila kuna vikwazo vya wewe kuwa nae na ukakubali kuwa huwezi kupata ulichotamani hapo unaweza ukajitoa katika matamanio. Kama umetamani na bado unajipa moyo na kufanya jitihada ya kupata unachotamani bila shaka tamaa yako itadumu hadi utakapokata tamaa au utakapopata unachotamani.
Miaka 5 michache, watu wanafukuzia mabinti miaka hata 10 (hao tamaa zao zinaweza zisiishe kabisa)
 
come on Smile,love haiwezi jenga matamanio? sasa hao watoto mnawapataje mkiwa ndani ya penzi?
love imejijenga yenyewe.kwani b watoto wanatafutwa na matamanio?
 
90% ya wanaonitaka naona wananitamani tu
wachache wananilove
i need a soul mate na sio body mate
una uhakika hata hao wachache wanakupenda kwa dhati?una hakika sio wasanii waliokubuhu? i will tell you this,maishani mwako ( in your whole entire life) ukipata bahati ya kupendwa truly and deeply angalau mara moja tu you will be a very very lucky person.Dunia hii imejaa full kuchorana/usanii when it come to matters love,na ndo maana wahenga walisema..'in love and war,all is fair',meaning katika vita na mapenzi silaha zote zinatumika in which case ikiwemo na deception,ulaghai,fitna,majungu,uzandiki etc.
 
Njia rahisi kugundua ni kuangalia wanaume wengine wanaojigonga kwako. . .kama sifa zote nzuri wanazo ila hawakushtui then your man is the real deal.
 
..........Okay, thats one measure- Muda (time) - can we have its measurable indicator? kuwa it takes time ? muda gani? One month?, year? au weeks?
With time unazidi kumjua mtu, you get to know them better, likes, dislikes, love and feelings between you grow stronger, the bond gets stronger (hence hard to fall apart), to know how strong that feeling is, itategemea what hardship you can go through together and how far you are ready to go for that someone.

Hiyo ya true love ikawa disappointed inakufa mh I doubt........ it aint die mydarling, it fades...... utaifeel daima sema itafika sehemu uirelease but not burrying it
Depends of how true you mean by true.., I might really love you today with all my heart but does not mean next year I wont hate you or have no feelings about you (these are all emotions, and the situations makes them grow stronger or die), and the thing about burrying it (of course huwezi ukasahau kabisa kuhusu mtu, especially kama mlishare good times) lakini unaweza uka-stop caring anymore.., au ile love ikabadilika na kuwa hatred (after all they are all emotions in different sides of the scale)
 
but matamanio yanaweza kujenga love
ila love haiwezi jenga matamanio
Smile

Hivi hapo ulimaanisha nini..,?, nimejitahidi kuelewa na kukubaliana na hio statement lakini nimeshindwa :thinking:
 
Last edited by a moderator:
love ni love -long term commitment ya body na soul,ni permanent
matamaninio ni matamanio-ni short commitment ya body -haina nguvu,ni flexible ni temporary,
but matamanio yanaweza kujenga love
ila love haiwezi jenga matamanio

wewe umeongea vizuri.
ila naomba kuongeza kidogo tu,
na hili ni personal, au niseme experiential

infatuation in matamanio ndiyo, na huwa shortlived.
ila yule target wa infatuation akiipokea ile infation positively,
infatuation hukua na kubadilika kuwa love.
love ni commitment ya kupenda mtu bila masharti.

Sasa basi, kwa kuwa watu wazima hushauri unapoingia katika
mahusiano na jinsia nyingine yawe ni mahusiano ya love, na si ya infatuation,

ushauri huwa kwamba target wa infatuation
acheleweshe consumation hadi ile infatuation itapoelekea kugeuka kuwa love.

Na utajuaje sasa: Vipimo vya masharti ndiyo kigezo pekee. Je huyu mtu anakupenda only if.....?
au anakupenda even if....!
 
Smile

Hivi hapo ulimaanisha nini..,?, nimejitahidi kuelewa na kukubaliana na hio statement lakini nimeshindwa :thinking:
my dia sun wu nina njaa sijala tokea asubuhi
nitakujibu kesho
nimeona tu nisikuache bila salamu
i love u
 

Hahah Hussy hiyo ya kama nntataka zidumu ni hoja aisee........so kumbe ninawezaamua idumu au isidumu?? So ule msemo wa love is blind hauapply hapa si ndio??
 

Just like the percentage or strength ya pombe (huwezi kujua ukali wake) mpaka ubugie glass za kutosha na ukishalewa ndio utajua kwamba kinywaji kilikuwa strong..,

Love is a package ( ni mchanganyiko wa mambo mengi ambayo unavutiwa kutoka kwa mtu fulani).., hivyo basi kile kinachokuvutia kama kitaisha kwa muda mfupi (hata kama ni mwaka) au badala ya kukipenda tena kinakuwa kero utajua ilikuwa ni mambo ya kupita tu.., ila Love ina-grow.., kwahio ni rahisi kwako ku-fall in love na mtu ambae ulikuwa na infatuation nae.

Lets call all these ni kama milango ya kuingia kwenye moyo (tamaa, infatuations, physical attraction n.k.) ni kwamba haya ndio yanakufanya mtu aingie kwenye moyo wako. Now the strength ya upendo wako kwa huyu mtu uta-determine how long mtaishi wote.., ingawa huenda potentially mgeishi muda mrefu ila kutokana na uliyemfungulia mlango kuku-dissapoint huenda love yenu ikafa even before it began
 
kumbe na uzandiki upo? Ngoja nikapime yule mtu ana uzandiki wa sh ngapi?

 
Hahah Hussy hiyo ya kama nntataka zidumu ni hoja aisee........so kumbe ninawezaamua idumu au isidumu?? So ule msemo wa love is blind hauapply hapa si ndio??

kwangu mimi love isn't blind da mkubwa! Kwahiyo huo msemo hauapply. Najua ni ngumu kuzizuia hisia zisitokee ila unaweza kuzizuia zisikutawale. Si lazima kufanya vile ambavyo hisia zako zinataka. Sometimes inabidi kupingana na hisia zetu, japo utaumia ila ni faida kwa badae.
Mfano, kuwa kwenye mahusiano na mtu unaempenda wakati yeye hakupendi (ni upofu, ila mimi sina huo upofu) bado ni maumivu, kumuacha wakati unampenda pia ni maumivu ila ni bora upingane na hisia zako, umuache huyo mtu kuliko kuendelea nae ukawa unazidi kuumia. Najaribu kusema kuwa usiruhusu tamaa ikutawale hasa pale unapajua ni ngumu kupata unachotamani
Umeelewa da mkubwa?
 
sun wu,unasema unayosema kwa sababu hujui kupenda ni nini.Ndo maana unashangaa kama upendo nao unafundishwa.Hili ni janga la kitaifa 90% ya vijana hawajui kupenda ni nini!
Eiyer
Love haifundishwi, ila unaweza kujifunza kumpenda mtu.., (what I mean hata mtoto anayezaliwa leo, emotions na chemistry zinamfanya awe capable kupenda na kuchukia) hii kitu ipo within kila kiumbe.

Mtu unaweza kujifunza kumpenda mtu, kwa kutafuta qualities zake fulani na kuzizoea, hence baada ya muda companionship na mazoea yatalead kwa kumpenda huyo mtu.., (Instead ya kuangalia negatives za mtu una-concetrate kwenye mazuri yake).

Ila kusema fulani hajui kupenda.., its a bit too far its like there is one universal way someone should love another, all saying someone is emotionless
 
Last edited by a moderator:

Aksante Da mdogo ila naomba Mbu aipite hapa aisee.............. hahaha mtakoroga unga wa ngano aisee ninywe
 
my dia sun wu nina njaa sijala tokea asubuhi
nitakujibu kesho
nimeona tu nisikuache bila salamu
i love u
Ha ha haa Asante tangojea kesho... "If Tomorrow Comes....."
:biggrin:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…