ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,438
- 119,006
Sio kweli bwana, ina maana ukiondoa vikojoleo ndio basi tena hutampenda?Bora tuachane tu kama utamu siupati
Sio kweli bwana, ina maana ukiondoa vikojoleo ndio basi tena hutampenda?Bora tuachane tu kama utamu siupati
@Hazard CFC unamchakata mtoto mpaka anakua hoi taabani ...Hahahaaa Nimechoka kuandika..
Kumbatio na mahaba vimenilegeza hoi bin taaban

Tumefika wanga wenyewe tusioua kwa siraha ila maneno.. naanza namna hii
Kwako mweka mada
Mpende akutende,mguu uote tende
Tena kwetu wapambe,abadani tukuchambe!
Na vile ulivyo mzembe,utamuacha akutende
Sisi yetu pombe,wewe lako tende!
Wanga tutakuwangia,tusilipwe hata lupia
Tena tutakufanyia,asilani hutomsikia!
Jitweze mahabani,yakukute mbeleni
Mpe ya sirini,akuvuruge taabani!
Muite wa mahaba,akupe msiba
Akujaze kibaba,uanze kuiba!
Wanga wa wahanga,nimekulia yamini
Manyanga na vimbwanga,havikutoki mwilini!
Mipango nimepanga,yatakutoka mapunyeni
Mimi ndio mwanga,wa mahaba habaduni..![]()

To you Papa D,
I know you know how much I love you.
Wachana na maneno ya wanga,
Nisikize mimi,nipe vya uvunguni usinibanie,
Nilaze kwenye kifua chako Mashaallah, usiniache hewani.. Nipo tayari kwa ajili yako..
Nakupenda Leo mpaka kesho..
Hazard CFC
Mbona umemsaidia kujibu ? MkuuWee nae umeng'ang'ana na Jolie Jolie
Sijui wataka nini?
Kutinduana ndio kufanyaje Eli?Pendaneni, Hilo ni agizo la Mwenyezi Mungu.
...ilà msitinduane, Mungu hapendi![]()
Like?When a woman is willing to sacrifice anything for you![]()
Nipo njiani naelekeaHhahaaaa weee kiboko Mkuu, una utani mwingi sanaaa......
Kwaiyo unawaambia Nafasi bado zipo....
Zero IQ umesikia lkn
Taking care of you like a mother😀😀Like?
Oouh... I see.Taking care of you like a mother![]()