When a Woman Love

When a Woman Love

To you Papa D,
I know you know how much I love you.

Wachana na maneno ya wanga,
Nisikize mimi,nipe vya uvunguni usinibanie,
Nilaze kwenye kifua chako Mashaallah, usiniache hewani.. Nipo tayari kwa ajili yako..

Nakupenda Leo mpaka kesho..
Hazard CFC


When a woman is willing to sacrifice anything for you😅😅
 
😂 Tumefika wanga wenyewe tusioua kwa siraha ila maneno.. naanza namna hii

Kwako mweka mada
Mpende akutende,mguu uote tende
Tena kwetu wapambe,abadani tukuchambe!
Na vile ulivyo mzembe,utamuacha akutende
Sisi yetu pombe,wewe lako tende!

Wanga tutakuwangia,tusilipwe hata lupia
Tena tutakufanyia,asilani hutomsikia!

Jitweze mahabani,yakukute mbeleni
Mpe ya sirini,akuvuruge taabani!

Muite wa mahaba,akupe msiba
Akujaze kibaba,uanze kuiba!

Wanga wa wahanga,nimekulia yamini
Manyanga na vimbwanga,havikutoki mwilini!
Mipango nimepanga,yatakutoka mapunyeni
Mimi ndio mwanga,wa mahaba habaduni..😜
Aisee 😀😀😀
 
Duuuhhh sawa inatoa uzoefu hii
Kama utamu haujaisha wamumunye tuu
Ila Jolie naye mwanzo alipokua Anakunywa mbili moto mbili baridi , naye alikua anaturusha sana roho humu, siku izi simuoni.


Wewe umejipangaje?
 
When a woman love
She becomes totally blind & deaf
Mimi hakuna mwanamke ashanipenda akawa kipofu na kiziwi juu yangu..
Naona mkosi umenishikiria penye utosi na hata hivyo nakuwa siamini kuhusu kupenda, wanawake wa Sasa ni magwiji wa kupenda hela upendo wa kweli mlishauzika mavumbini😜
 
Haaaa wakubwa mnafaidiana maana hongera sana
Mpira kupasiana
Lkn nashauku , unajua kuna Wanaume na wanawake mpaka wanaoa au kuolewa anakua natembea na wanawake/wanaume kushinda hata idadi ya miaka yake?.

Hili unalionaje
 
Back
Top Bottom