Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Lol, lazima kwanza ndio akili ya kusoma vitabu ije. Lasivyo ni miayo tuu.
Hazard Ni Kama unavyomuona uwanjani!..lakini bidada libido yako imepungua? Unajua sie vidume tunakuwa na inferiority za kutosha hasa kama tukishindwa kuwapandisha wenza wetu kibo![]()
Maisha ni magumuUmeamua kujianzishia uzi wa kujipenda e?![]()
To you Papa D,
I know you know how much I love you.
Wachana na maneno ya wanga,
Nisikize mimi,nipe vya uvunguni usinibanie,
Nilaze kwenye kifua chako Mashaallah, usiniache hewani.. Nipo tayari kwa ajili yako..
Nakupenda Leo mpaka kesho..
Hazard CFC
Penzii zito kilo 150Asante babe...
Love u moreee siunajauga venye sibakishagi maupendo hua natoa yotee hadi yanakwisha...
Hofu yangu walimwengu watasema ni ID moja hii
Sent using Jamii Forums mobile app