marrykate
JF-Expert Member
- Mar 4, 2012
- 733
- 444
wanaume omba omba, yaani hata akifiwa ukukutana nae anakuomba rambi rambi, ukiwa mwanamke wake sasa ndo utakoma kila mkiongea kitu lazima aongelee pesa zako au za wengine
wanaume wanaopenda maisha ya juu wakati wavivu kufanya kazi, na kutafuta hela
wanaume wanaopenda kuendekeza kampani za kukutana baa tu
wanaume wanaopenda maisha ya juu wakati wavivu kufanya kazi, na kutafuta hela
wanaume wanaopenda kuendekeza kampani za kukutana baa tu