Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Bali ukikeketwa?? Au unafikiri kutahiriwa ni kutolewa kijingozi kwenye kikojoleo tu? Soma katikati ya mistari hapo.........Kutahiriwa haimaanishi wewe ni mwanamme.
Bali ukikeketwa?? Au unafikiri kutahiriwa ni kutolewa kijingozi kwenye kikojoleo tu? Soma katikati ya mistari hapo.........Kutahiriwa haimaanishi wewe ni mwanamme.
1.Tabia ya uzushi na kuchonganisha watu. Yaani ukiwa na tabia hii wenzio kwenye garage party watakutimua sababu huna vigezo vya kuitwa mwanaume. Mtoto wa kiume kueneza baseless rumours wala haipendezi.
2.Tabia ya kutojiamini na hivyo kuwa mtu wa mabifu yasiyoeleweka. Mfano unajiita mwanamme na kuna mtu humu JF humjui, hujawahi kumuona, formula ya maisha yake huijui ila you wanna be him so much that it makes you hate him. Chuki binafsi na bifu tuachieni sisi wanawake.
3.Tabia ya kutojitambua kama mwanamme ambae baadae atakuwa mume kisha baba na kichwa cha familia. Lack of sense of responsibility.
4..... ongeza na wewe tabia usiyoipenda kwa wanaume.
No, maybe we are sailing in different boats. What I meant is love turns sour for most of us. But when it does haina maana kutukana wanawake wote kama inavyoonekana humu jf.
kukaa na wanawake mda wote
Mwanaume mwenye kiherehere aiseeeee ! af wengi wanakuwaga so dumb and bold headed ila ndo kujifanya wanajua kilakitu! ku accuse wao...kutokufikiri na kuropoka ndo jadi yao. muache wanaume haipendezi1.Tabia ya uzushi na kuchonganisha watu. Yaani ukiwa na tabia hii wenzio kwenye garage party watakutimua sababu huna vigezo vya kuitwa mwanaume. Mtoto wa kiume kueneza baseless rumours wala haipendezi.
2.Tabia ya kutojiamini na hivyo kuwa mtu wa mabifu yasiyoeleweka. Mfano unajiita mwanamme na kuna mtu humu JF humjui, hujawahi kumuona, formula ya maisha yake huijui ila you wanna be him so much that it makes you hate him. Chuki binafsi na bifu tuachieni sisi wanawake.
3.Tabia ya kutojitambua kama mwanamme ambae baadae atakuwa mume kisha baba na kichwa cha familia. Lack of sense of responsibility.
4..... ongeza na wewe tabia usiyoipenda kwa wanaume.
Hahahaaa... Don't forget those men who change their relationship status
each time they fight with their girlfriends .....so, you wonder, .what will happen when they have a fight with their parents? will they change their family status. to orphan?
Hahahaha. Me like this and reminds me of someone.