Hahahaaa. No, uoga sina ndo maana siku moja moja tuwekane sawa.Karucee,
Kulikoni mama. Leo umeamkia kwa jirani au? Kama limekuudhi hili limtu, litamkie wazi usiliogope. Tunakujua Karucee huna woga. Au aliondoka ghafla bila cha mchana? Usimseme vibaya atarudi tu
Acha kabisa my friend. Kula kula ovyo sipendi na huko kujidai anazo ndo usiseme.Tabia ya kuwa mtu wa SENGEREMA
Tabia ya kupenda kula ovyohovyo;
Tabia ya kutoijali familia yako .... hapa naomba kufafanua; unamkuta mwanaume anaacha vijisent home lakini akiwa kwenye kilinge anazungusha ofa utafikiri pesa kaziokota - wadada kwenye baa wote wanamuita shemeji - SIPENDI NA SITAKI KABISA TABIA HIZO
Hao wavulana ndo usiseme.
Kuna mkaka namfahamu amezaa, ameoa yupo kwa shemeji yake. Lo??
Tabia ya kujamba jamba....!
4. Tabia ya kuwasema wanaume wenzangu vibaya kwenye thread zilizoanzishwa na zinazofuatiliwa na wenye k.