When a man stoops so low- Tabia zisizopendeza kwa mwanaume

When a man stoops so low- Tabia zisizopendeza kwa mwanaume

Mwanamme anamfahamu mbaya wake halafu badala ya kumface na kumpa makavu analialia,anazunguka au hata kumfungulia thread
cc NYANI NGABU.
 
Mwanamme anamfahamu mbaya wake halafu badala ya kumface na kumpa makavu analialia,anazunguka au hata kumfungulia thread
cc NYANI NGABU.
what the ---- are you talking about??
 
Nimewaachia vijana waelezeke...
Mi kuna mdogo wangu hapa sometimes naona anaingia kwenye disputes na dada zake, huwa namuonya tu kuwa kama mwanaume asipende kujihusisha saana na kuwa muongeaji saana kwenye ishu za dada zake.
Sifa ya mwanaume ni kuongea sentensi chache but zilizochaguliwa vyema na zinakuwa bolded

Roger that!
 
Kuna mkaka namfahamu amezaa, ameoa yupo kwa shemeji yake. Lo??
nyambafu kabisa... nilikaa na shemegi zangu wawili kwa miaka4 wakisoma, wakaanza na dharau kwa dada yao wakiniona mimi ndio ndugu yao, walivyomaliza mitihani wiki iliyofuata kila mtu nikambebesha virago vyake...
 
Jambo jingine baya ni kukosa msimamo katika kufanya baadhi ya mambo,unakuta makubaliano ni hivi ila mtu anaenda kinyume na makubaliano.

alafu pia wengine wako conservative sana,yani hataki kubadilika hata kama kakosea.kisa yeye mwanaume kasema anataka asikilizwe tu.
 
I hate that. Umwinyi flani.
 
nyambafu kabisa... nilikaa na shemegi zangu wawili kwa miaka4 wakisoma, wakaanza na dharau kwa dada yao wakiniona mimi ndio ndugu yao, walivyomaliza mitihani wiki iliyofuata kila mtu nikambebesha virago vyake...

Safiiii
 
Sekyu Karucee Nami niongeze apo.

1. Mwanaume haipendezi kula vitu njiani (unakuta mtu na ndevu zake anajipinda na muwa au nanasi njiani.... )
2. Kuvaa suruali nusu mlingoti (kuiga hata visivyo faa)
3. Kutokuwa na maamuzi (Kutokushirikisa ubongo vya kutosha na kujiweka soft soft kama dada zao)
4. Kuropoka ropoka (Mwanaume hasemi mengi, anasema machache na anayasimamia na matokeo yanaonekana.
5. Kuwasema wenzako(umbea)
6. Kuwa tegemezi kwa mwanamke. Mwanaume kwa asili hana akili ya utegemezi kwa mwanamke kabisa
7. Kuwa mlegevu mlegevu / uvivu (mwanaume siku zote ni mkakamavu)
8. Kuwa na show off na majivuno ( kujionesha onyesha au kuonesha ulivyonavyo)
9. Kuwa na kampan kubwa sana ya watoto wa kike kuliko wanaume wenzako.
10. Kujirahisisha rahisisha (kila unachokiona mbele yako hakikatizi hivi hivi)
11. Kujipendekeza pendekeza na kutaka kunufaika wewe kwa gharama ya wengine
12. Uchafu wa nguo za ndani (soksi, vest na boxer/pensi)
13. Kutukana (wengine hawawezi kuongea sentensi moja bila kuweka tusi etc)
14. Kuwasikiliza sana mama zao na hata kuingiliwa kwenye ndoa na familia zao na mama zao..... hivi ukiwa imara na mwenye maamuzi mama ataanzia wapi kuja kukuingilia??? Nampenda sana mama yangu lakini haimaanishi namsikiliza kila analoniambia. Ukiwa mkweli, muwazi na mwenye msimamo thabiti umemaliza kazi.
15. Kujiruhusu kula na kunywa bila mpangilio inayopelekea kwa wengine kunenepa kupita kiasi.

nakadhalika nakadhalika.....
 
Living a fake life (wanna b), kutongoza ovyoovyo kama ndio ajira iliyobaki, kutowajibika na kutojitambua.
 
Mwanaume au pengine hata mvulana tu kugombana na mtoto wa kike au mwanamke haipendezi
 
Back
Top Bottom