whatsapp

whatsapp

Dio

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
1,274
Reaction score
159
niaje wakuu wa kazi naombeni ufafanuzi kuhusu whatsapp inaweza kukubali kwenye nokia 6300?
maana nimejaribu kudownload imekaa labda kuna yeyote ambaye alishajaribu kuidownload kwenye hiyo simu anisaidiie link
 
Sidhani kama wametoa kwa symbian Os nijuavyo kwa sasa ina-comply na Blackberry na Android!
Jaribu ku-search kwa ku-specify hiyo simu otherwise uki-force haita-work out!
 
niaje wakuu wa kazi naombeni ufafanuzi kuhusu whatsapp inaweza kukubali kwenye nokia 6300?
maana nimejaribu kudownload imekaa labda kuna yeyote ambaye alishajaribu kuidownload kwenye hiyo simu anisaidiie link
......nilidhani unatoa salam kwa kingereza cha kimarekani kumbe.......ngoja waje ma-IT watakujibu.
 
haikubali kwa 6300,ingia website yao uone sim zinaendana za nokia.
 
@asanteni kwa ushauri wenu.
 
Mi nna nokia X2-01 ipo kwenye list yao lakini baada ya kudownload nikitaka kuingia, inanipa msg 'could not connect to server error no.50'
Yes it works with symbian too..
it only depend on the version of your symbian ..
Download here WhatsApp for Nokia S60
 
Mi nna nokia X2-01 ipo kwenye list yao lakini baada ya kudownload nikitaka kuingia, inanipa msg 'could not connect to server error no.50'

ingia hapa whatsapp
download kutoka kwa hiyo site.au angalia setting zako za net,labda app zinatumia access point nyingine.
 
whatsap kwa nokia inassuport symbia tu. Nokia 6300 ni s40 java phone haiwezi kukubali
 
Back
Top Bottom