[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji779] [emoji779] [emoji779]Mkuu mshana jr tatzo la hiyo WhatsApp yako ni kwamba inatakiwa uiweke kwenye Nokia kitochi, je,utaweza kuiweka? Kama huwezi nitafute haraka ukiambatana na physical image/objects ya hizo picha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji779] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Hilo tatizo limewahi nitokea kwenye simu yangu. hadi nilipo enda kulitatua kwa fundi maeneo flani ya guest tabata kwa elfu 25 tu.....
Hicho kifurushi cha kwanza ni cha Halichachi cha jero Msg 700, 90GB, Dakika 800 mitandao yote kwa mwezi...