Sasa mbona kila wakati inata update ukiupdate inaleta kiarabu mkuu hapa vp nisaidie kwa hili
Je ni Full AntBan Mana Namba Yangu Moja Ishapigwa Ban
Wadau nilikuwa natumia gbwhatsapp wameiblock jana hivi kuna wahtsaap pluss nyingine ambayo iko vizuri na inafanya kazi kama gbwhasapp? Naombeni msaada kama kuna anayejua
2.12.246 nimedownload ya vision hii nayo inagoma kuinstall. Niliyokuwanatumia ilikuwa inataka kuapdate ila ilikuwa inaleta luga ya kiharabu ila jana ndio wameiblock
Mkuu unaweza kunisaidia link yake
Thnx mkuu ngoja niitafute.
Nimeipata extended vion mkuu
https://revclouds.com/tle3zgqnm0th
nimejaribu kwangu imekataa kudownload