omba talaka uende kwenu! mume, mkwe, wake wenzio wote lao moja! unasubiri nini sasa?
Kwa tabia hizi za kike mumeo atakuwa mtu wa Pwani ama Zenji.
omba talaka uende kwenu! mume, mkwe, wake wenzio wote lao moja! unasubiri nini sasa?
naomba niwe mkali kidogo kwanza mama naomba hiyo simu ya whatsapp unaweza itoaonline kwa nini? mute hilo group message ziingie hadi mia usisome... hakuna kucoment kwenye huo upuuzi magroup ya familia mengi ni unproductive na kupoteza muda unafki mwingi ni shida.... mwnaume akuelewi unaweza ingiza namba nyingine itumike kama whats app number kwa watu muhimu tu hata mumeo usimpe... kwanza mumeo ni mjinga na poyoyo ukiona mwanaume anakalia umbea haki ya nani mimi ningegeuka mume umo ndani ili achape umbea vizuri mfyuuuuuuuuuuuuuuuu
kwa mara ya kwanza you have made sense.Niulize enyi walimwengu huyu bwana anavyonitesa
kanitoa kwetu kwa baba na mama
kwa vigeregere na heshima nyingi
mtizameni sasa anavyonigeuka
mtizameni sasa anavyonigeuka
Mambo anayoyafanya ni Aibu kusema kwa kuwa leo nina uchungu nitakueleza
old is gold
Ndoa ya mateso
Marijani Rajabu
digital hamzijui hizi
aiseee, apana kaka/dada
naomba ututake msamaha sisi wanaume wazenji, hatunaga upuuzi uwo kw kweli,
mim maisha angu na mke wangu yapo kivyangu vyangu, hatuna ata maingiliano na ndugu ndugu.
apo uyo m.mme mpuuzi, utatengenezaje grp ya familia aafu unamleta mkeo,
aaaaggggrrrr, jamaa mpuuzi sana, mi kuna sehem moja tu nd tupo grp moja na wife na sio familia, ni marafk zetu, na wife yee lake jicho