WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

nahofia kuletewa magonjwa ndani ya nyumba nani atalea watoto???

Zingatia tuu kuwa makazini kuna stress kibao; tunavyotaniana na ninyi kwenye mitandao kwa kiasi kikubwa na kupunguza tuu hizo stress na hakuna upendo
 
Mwanaume hata apewe ubunifu vip kama ana roho ya kucheat habadiriki..... try again

Tatizo mnadhani kuongeza ubunifu ni kukata viuno sanaaaaaaa!!!sio!Kaulize utaambiwa ubunifu unaotakiwa!!!!Usiichukie ndoa!!
 
Ladies and Gents habari za siku nyingi ..

Nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..

Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl

Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia

Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana

Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp

Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili.

Lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..

Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi

Wenu Egyps
*********
hata jamii forum nayo ni kilio cha wapenzi na wanandoa wengi,asije mume wako akailalamikia jamii forum kumvunjia mji kama utafata ushauri wa kuachana nae.,
ndoa ni kuvumilia,ongea nae mrekebishane
 
Egyps-women

Uliyoyaandika ni kweli au unafanya utafit; embu jikumbushe bandiko hizo za kwako:

i. Moyo wa kupenda hauna subira
ii. Bado anautesa moyo wangu huyu JF member
iii. Kuna anayeutesa moyo wangu JF

Halafu wewe unashinda kwenye mitandao unasingizia mumeo? Badili ID ili mumeo akutongoze halafu umtokezee nadhani hatakaa arudie kama ni kweli yuko hivyo
 
Tatizo mnadhani kuongeza ubunifu ni kukata viuno sanaaaaaaa!!!sio!Kaulize utaambiwa ubunifu unaotakiwa!!!!Usiichukie ndoa!!

Mpaka amemuoa nadhani alimchagua katika wote.... kuna tabia ambazo hazifichiki ati! Ubunifu ni makubaliano ya wawili.
 
Hii thread nasoma tangu jana ila nilikuwa sijui cha ku-comment.

Kwanza ulikosea kupekua simu ya mmeo. Simu inaweza kuwa chanzo kikuu cha kuvunja ndoa. Hivyo hilo ni kosa ambalo hutakiwi kurudia tena.

Halafu ukiolewa ww ndo wapendwa shosti. Me binafsi naamini hakuna mwanaume wa pk yako, jambo la msingi ni mwanaume akuheshimu, akutimizie mahitaji yote km baba wa familia kiasi ambacho ww huwezi jua yanayoendelea. Kama ilivyokuwa kwako usingejua bila kushika simu.

Ili siku nyingine usijipe stress, amini haupo pk yako kwake ili hata ikitokea umejua haitakusumbua sana kuliko kujiaminisha upo pk yk then ndo ujue la kujua utakufa kihoro buree.

Lakini hakikisha unatimiza majukumu yako kama mama na kama mke, watoto na muda wake, mume pia mtengee muda wake ili hata anavyofanya nafsi yake iwe inamsuta kuwa hakuna anachokosa home baaasi.
 
Luv mimi nakubaliana na maoni yako...yashanikuta mie hayo ya kucheck simu nikasema siyowahi kurudia tena maana nilichoambulia sana sana ni kuumia roho na ugomvi. Ila jamani nikiwaza ukimwi nachoka... ingekuwa ni issue ya wivu tu mi ningesema aendelee kupuliza filimbi yake kwa kila mwanamke, I wouldn't give a damn... but duh siku unaenda clinic una ukauzito ndugu yangu saa ya kupima una vibrate kila eneo...
 
Pole sana. Ujue matatizo mengine huwa tunayatafuta wenyewe. Mume/mpenzi akiacha simu tu mikono inawasha.

Sasa wewe jambo la kufanya ni kujiwekea utaratibu kwa kwenda kupima japo mara mbili kwa mwaka au mara moja basi.
 
......Hii mitandao sasa ni janga la dunia, kuanzia kwenye ndoa hadi kulea watoto.
Utakuta mume yupo busy kwenye internet, hadi anasahau kwamba ana mke.

Hili kwa kweli ni tatizo, ndoa siku hizi zina matatizo yanayochangiwa na mitandao.

Mawasiliano hafifu kwenye ndoa sababu ya mitandao. Kuna dada alinilalamikia

mumewe anaamka mida midnight na kuanza kuingia online.

Vile vile wazazi badala ya kutumia muda huo kumsomea mtoto vitabu au kucheza na mtoto
utakuta yupo busy na internet. Aiseee!! Sijui tunaelekea wapi na mitandao.

Egyps-women pole sana, mwambie ukweli kwamba umekuta picha za wadada.

Na muulizie ni wakina nani?
 
Aisee kumbe hii ID yako my wife. Nashukuru nimejuwa. Si ungenifahamisha tukazungumza faragha? Sasa huku jf kuna suluhu gani unadhani wawezapata? Anyway, hayo makitu nilishaacha na watsapp nilisha uninstall toka kwenye Phantom langu.
Tuendelee kama zamani, Please my luv
 
usiwasingizie

KATUNI.jpg
lisemwalo lipo kama halipo..........
 
Pole sana EW
Ndoa zina mambo ..Hivi wanaume huwa hamuogopi magonjwa
najua ukiwa na msichana wa nje siku ya kwanza utatumia Condoms,Ya pili je na ya tatu ???acheni michepuko
Je uko Tayari kumwambia mkeo nilichepuka na mkaenda kupima au ukapima kabla hujamwambukiza La Azizi wako?
Nikifika hapo huwa natamani kukaa single forever !
Mungu atuhurumie :embarassed2:
 
Mtoa mada kama kweli umejiridhisha mumeo anatoka nje ya ndoa jaribu kuchunguza anafuata nini huko nje, maana kama kukupenda anakupenda ndio maana we uko ndani jichunguze mapungufu yako.

Wanawake wa siku hizi mnachunguza chunguza mno waume zenu.
 
Egyps-women

Uliyoyaandika ni kweli au unafanya utafit; embu jikumbushe bandiko hizo za kwako:

i. Moyo wa kupenda hauna subira
ii. Bado anautesa moyo wangu huyu JF member
iii. Kuna anayeutesa moyo wangu JF

Halafu wewe unashinda kwenye mitandao unasingizia mumeo? Badili ID ili mumeo akutongoze halafu umtokezee nadhani hatakaa arudie kama ni kweli yuko hivyo

Teh teh
Napenda san,ngoja nipitie
 
Back
Top Bottom