Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,322
Reaction score
2,694


Whatsapp iko kwenye mpango wa kuleta feature mpya inayoitwa "Restricted Chat" kwa watumiaji wa Android kwa ajili ya kuongeza Usalama.

Restricted Chat Kwa ufupi , hii ni level ya juu zaidi ya kulinda chat maalum. Lengo?Ni Kufanya mazungumzo yako yawe ya siri yenye ulinzi zaidi haswa kwa wale wanaopenda ku link vifaa vyao na devices nyingine.๐Ÿ”’



Kwa mfano: Simu yako kuu โ†’ ๐Ÿ” Restricted Chat โ†’ Linked devices โ†’ access imezuiwa zaidi huwezi kusoma baadhi ya meseji.

Hii inaweza kuwa useful kwa:
๐Ÿ’ผ Mazungumzo ya biashara
โค๏ธ Mazungumzo binafsi
๐Ÿ”‘ Taarifa nyeti
๐Ÿ‘ฅ Group zenye taarifa muhimu
๐Ÿ“ฑ Watu wanaotumia WhatsApp kwenye devices nyingi.

Kumbuka hii tofauti na Chat lock ๐Ÿ˜„ hii inakua inazuia chat zako zisiweze kusambaa au kufikiwa kupitia linked Device pamoja na protections za Advanced Chat Privacy.

Usisahau kutu follow bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง || Teknolojia ni Yetu sote ๐Ÿƒ kwa maujanja zaidi โœ๏ธ.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ