Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,581
Yaani babu kwakweli huyu Kaizer amegoma kuzeeka kabisaaaa, mie namuangalia tu.
Huyo asikutishe, anatumia ujuzi wetu wa 1947 kucheza na wajukuuu...
Hana madhara yoyote kama sie wengine...nasikia wanaitwa "nyuki wa mashine"...
cc Lily Flower
yote hii juu yako mama
"Mapenzi unayonipa sijawahi kupata....na bado na bado"
Asprin njoo umalizie huu mstari
"Don't advertise your man if he is not advertising you,if he is acting single act like a widow, life is too short to be fooled"
status updated....:biggrin1:
Mweeeeeh!!! Hata siamini ninachokisoma!! Ndio umeamua leo kunidanganya hadharani ili ukichepuka nisistukie?? Sidanganyiki, ndio unamuita huyo fisadi mwenzio Asprin? Alafu sijamtia machoni siku nyingi!! Hebu mwambie nimemmiss.
simpendi mtu anaefatilia status za watu yan ye akiamka tu anaanza kusoma umeandika nini looooh
"Don't advertise your man if he is not advertising you,if he is acting single act like a widow, life is too short to be fooled"
status updated....:biggrin1:
Oooh mamah....
Wanawake ni dhaifu by nature ndio maana silaha yao ni machozi
i like dem
simpendi mtu anaefatilia status za watu yan ye akiamka tu anaanza kusoma umeandika nini looooh
Unaandika ili iweje?simpendi mtu anaefatilia status za watu yan ye akiamka tu anaanza kusoma umeandika nini looooh