Iko poa now ila kuna alert nimepata now kwamba expiration date imekwisha ila wameniongezea muda mpaka March 25, from hapo nitakuwa nalipia.
Sijui kuna mtu amepata hii msg
tulieni LE walikuwa wanachoeka abackdoor yao bana, nyie vipi hamjui sasa hivi mmeshaolewa, mnalala na chupi za nini?