WhatsApp imepata tatizo gani ?

telegram pazuri sana afu pako so fast ila sasa hakuna status ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Hamia TELEGRAM hutajuta. Tatizo wabongo wamekariri kila mtu group la
WhatsApp
 
What's App ilivamiwa jana na Ki-rusi lakini leo ipo poa.
 
Mbona kwangu kawaida tu. Mmeamka vibaya tu, nendeni mkaoge baharini mutoe mkosi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Iran hana uwezo huo labda urusi

Dah nyie watu mnamdharau sana muirani, wakati ninyi hata toothpicks factory products mmeshindwa!! Waswahili bana. Sitegemei kama tutakuja kuwa kama waarabu na wazungu.
 
Bible zina walaghai mno israel ni taifa la kawaida mno mbn hata us kuna waisrael,kwan mmesaau adolf hitler alivyokuwa ana wachoma kama mishikaki,yaani kiboko wa us ni rusia sijaona mwingine.
Kwahiyo Iran hawana uwezo huo eti? [emoji16][emoji16] basi atakuwa israel
 
Mbadala wa official WhatsApp ie. Ant ban WhatsApp,yo WhatsApp ,fm or gb
Check out YoWhatsApp!
Let's you change WhatsApp colors, themes, save stories and hide last seen!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ