WhatsApp imepata tatizo gani ?

ila kwa wanaotumia aina nyingine zile za whatsapp hawajapata tatizo hili
 
Watanzania wameshinda pazuri aise🤣🤣🤣🤣🤣 nikweli mtoa mada
 
Mimi kwangu documents zinafunguka na meseji zinaingia na zinatoka ila picha na video ndo hazifunguki na status haziload I think leo Whatsapp inareact tu
 
Naona wadukuzi walishafanya yao, Facebook,WhatsApp, Instagram mambo ni ovyo,picha hazifunguki
 
Tanesco Kyela mbona mnataka umeme kila mara bila kutaarifu Wananchi ama ni mm tu ndo cpati taarifa hiyo ,wenye Kujua mtusaidie
 

Kuna tatizo...i'm sure soon wata-restore huduma
 
Hamia TELEGRAM hutajuta. Tatizo wabongo wamekariri kila mtu group la
WhatsApp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…