Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,449
- 283,760
Je mitandao imeanza kudhibitiwa Tanzania kama tulivyoelezwa awali ?Hivi inawezekana ni tatizo kwa leo?
Mie kuna mtu kanitumia ramani WhatsApp imekataa kabisa kufunguka lakini documents za kawaida zinafunguka vizuri
Je mitandao imeanza kudhibitiwa Tanzania kama tulivyoelezwa awali ?
Boss Hata instagram inasumbuaMara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .
Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?
Kabisa ! ndio nimeona muda huu piaBoss Hata instagram inasumbua
Pia
aiseee !!Hata kwangu media zote hazifunguki.
Mara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .
Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?