BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Usigope tupia mabroken man syo lugha yetu
Akhaaa lugha za wenyewe hizo...kisa cha kutegua ulimi
Usigope tupia mabroken man syo lugha yetu
In principle Whatsapp haitegemei number ya mtandao wa simu bali code number ya simu handset
Ndio mtu akichukua hiyo code yako akaingiza kwenye simu yake, message zako zote zitaenda kwake.
Be careful!
Endelea kuwaibia hao hao wasiojua kama kuna kitu kinaitwa JAMII FORUM:
Here is the trick.
if you do not want to use your phone number, you can still use WhatsApp , send / receive messages from it. The way to do WhatsApp hack.
1. WhatsApp uninstall if already installed on your mobile phone. You can save image files / video WhatsApp .
2. Download and install new WhatsApp
3. Lock your messaging service simply by changing the flight mode. Now open WhatsApp and add your number to it. So it will not be able to send the message to the server and verify your mobile number.
4. As verification is still incomplete and messages are blocked , Whatsapp will ask you to choose an alternative method to verify . Choose ' Check through SMS ' and enter your email address . Click 'Submit' and without waiting for a second, click " Cancel." This ends the authorization process
5. Now, you are required to forge messages. Install the message Spoof text message for Andriod and Fake- a- Message for iPhone
6. Go to the Outbox -> Copy the message details Spoofer Application -> Send it to false verification.
7.Use these details in their false message : To:+447900347295 From: + (country code ) ( mobile number ) Message: Your e-mail address
8. A message will be sent to that fake number and now you can use this number to connect with friends .
Mkuu hebu nieleweshe vizur hapa, hiyo code no ya simu ni ipi, naijuaje! Na mtu kama ashanifanyia hivi, msg zinaenda kwake nitafanyaje kumstop? Na je msg kama zinaenda kwake na kwangu zinakuja??
Iweje hasa namba kuonekana ya nje...uvulana bana!!!
In principle Whatsapp haitegemei number ya mtandao wa simu bali code number ya simu handset
Ndio mtu akichukua hiyo code yako akaingiza kwenye simu yake, message zako zote zitaenda kwake.
Be careful!
You have a point here. Na ndio maana hata ukitaka kutumia WhatsApp Web they don't ask for your mobile number. Wanacopy phone code electronically and that's it.
Fanyen kazi nyinyi mnaboa!!
Kweli Mkuu - ndio maana hata ukibadili simcard tena ya nchi nyingine kabisa, Whatsapp inaendelea kufanya kazi!
And this brings us to another important issue. Kugawa simu baada ya kuichoka. Mtumiaji mpya ataendelea kupokea message zako!
Mbaya zaidi mkuu, naamini 95% ya watu hawalijui hilo. Kuwa ukigawa simu kama zawadi basi meseji zako bado zitasomeka, licha ya kuwa umeondoa sim card yako....!
You are supposed to hide your Identification via whatsapp ..you can available without your real we can create each number that you want just check up us via 0655500066 sms or whatsapp even calls are allowed...karibu tukutengeneze namba ya nchi yoyote utumie whatsapp
Hiyo code ipo kwenye kila simu inatwa phone's Media Access Control (MAC) address au Wi-Fi Address
Hutaweza kumzuia kipindi hicho mpaka number yako irudishwe tena kwenye simu yako. Njia ya kujua au ukiwa na wasiwasi mtafute mtu akutumie message kwenye Whatsapp. Then muangalie kama itaonyesha kuwa imekuwa delivered na kusomwa wakati wewe kwenye simu haijaingia.
Mkuu kama upo vizuri lugha ya malkia fuata hii link:
http://www.wikihow.com/Access-Someone-Else%27s-WhatsApp-Account
Identification
mawasaliano ayo apo juuGharama?
ni shooter not shootingMadai yako mi mwanasayansi kingereza hakimati saaana. Kazi kweli hata hiyo troubleshooting nna waswas
Sifa za kijinga uonekane unajua Kizungu kumbe ni bure kabisa ......
kwani nimewalazimisha?? hii ni democracy sio lazima tuweze vyote pay to get or learn something.Endelea kuwaibia hao hao wasiojua kama kuna kitu kinaitwa JAMII FORUM: