Whatsapp calling activation

Thanks farijiel for the step-by-step support.Enjoying the new feature now..kudos!
 
Last edited by a moderator:
Naomba kujuzwa namna ya kum activate mtu mwengine, ambaye tayari amesha update whattsap yake!
 

Nimefanikiwa na kila kitu kimeenda sawa!
 
kuna watu wengin nashindwa kuwa define...mtu unamsaidia,, anauliza maswal unamjibu...afu hata kuja kutoa feedback kua amefanikiwa anashindwa..
 
Post #1 inaniambia mpaka ni install lastest version ambayo ni v.2.12.5 na pale play store ipo v.2.12.4 kama sijakuelewa plz msada maana nimestack hapo mkuu
Nimeweka link ya kudownload version 2.12.14
nilisema ni version 2.12.14 ya whatsap not 2.12.4...
Baad ya hapo inabid upigiwe simu mara 2 na mtu ambae yuko activated...
 
Hapo kwenye 2.12.4 ni typing error nilimaanisha 2.12.14 nimedowload hiyo version nimeinstall tatizo icon ya call haijatokea ili niende next step
 
File name:
com.whatsapp-2.12.14-450361-
minAPI7.apk
Version: 2.12.14 (450361)
Uploaded: March 24, 2015 at 7:24AM
GMT+0900
File size: 18.99 MB (19,911,698 bytes)
Minimum Android version: Android 2.1+
(Eclair, API 7)
MD5:
a4bfe4ef0e2db369ea85af8e3b3d988f
SHA1:
19cd0231030f92e61f0a1b67d84d10ba59
4550f0
Downloads: 104,216
Uploaded by: Isotope

au hapo juu sehemu gani nidownload
 
download whatsapp latest version ya play store, inakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…