Whatsapp calling activation

Hapa naenjoy whatsapp plus with calln enablee
 

Attachments

  • 1426200593264.jpg
    38.5 KB · Views: 174
Nimefanikiwa whats app call inafanya kazi sasa ubarikiwe sana
 
 
Unapata mkuuu download official whatsap then install and activate then .ukimaliza download hizi latest whatsap + install bila kuunstall hiyo official inshort ni kuipandikiza hiyo + kwa official me naenjoy hapa

Ni lazma uondoe official whatsapp afu ndo uwek whatsapp plus,,,otherwise haiwez kukbal.
 
Kaka nimefuata maelekezo yote lkn nashindwa kuipaata namba yakow ktk orodha yangu kwenye whatsapp..
Sasa km vipi naomba nicall kwa 0716403314
 
Msaada kila nikitaka kuinstall ile whatsapp version mpya ambayo ina call ndan yake inagoma natumia LG optimus p500
 
 
Asante sana mkuu kwa moyo wa kujitoa..kila kitu kimeenda sawa.sasa nafurahia..asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…