Whatsaap web

Sio sabb hack sabb n uaminifu zero for both men n women .........why ucheat ...siumuambie ukweli ulonae akuache kuliko kundanganya .....achilia magonjwa .....me nikigundua nipo n mtu wa hvo sitofanya kitu ila atapay high price ....ntamuonea huruma why kanisaliti sabb maumivu atayopata yeye n Mara kumi alivonicheta
Ni kweli uaminifu ni shida sikuhizi kwa jinsia zote watu hawawi wakweli sijui wanataka nini yani. Tamaa zimezidi
 
Ni kweli uaminifu ni shida sikuhizi kwa jinsia zote watu hawawi wakweli sijui wanataka nini yani. Tamaa zimezidi
Imagine mschana tayar kashaposwa tena kwa hiar yke bdo mwez aolewe then anacheat huyu anataka nn sasa
 
Kweli hyo ni hatari naelewa hyo hali mahusiano ni changamoto mno sikuhizi. Heshima zero hapo Dada si inabidi ajitulize
Yah but me nahack sabb za usalama wangu binafs cz ndo njia pekee ilobk ......even to escape the country I will do that ......
 
Kwa kifupi huwezi doenload whatsapp web, ila unaweza fungua whatsapp kwenye browser ya computer.

Hii iliwekwa mahsusi na whatsapp ili mtumiaji wa whatsapp aiwe anahangaika kufungua simu yake pindi atumiapo computer. So unaifungua whatsaap yako kwenye computer kwa kutumia browser ya computer.

Ila ss imepara matumizi mengine kuwa mtu unaweza fungua whatsapp ya mtu mwingine kutumia computer shart lake n kuwa lazima uwe na simu husika ili uweze ilink computer na whatsapp husika
 
Unaweza download whats web mm nimedownload n nmetumia kuhack simu ya mhusika ...cjatumia laptop Ila Simu ya mhusika
 
Back
Top Bottom