alexis jr
JF-Expert Member
- Sep 28, 2014
- 391
- 343
Ndio nakuwa mwaminifu ila mtu kufatilia mambo yangu binafsi in the name of uaminifu ni kuingilia privacy.
N kwelSawa ndugu
Mwenye kuhitaji App tayari kajulisha na kushukuru lkn wewe sasa umekomaa na mimi tu. WhatsApp web siyo App na WHATS WEB ni App. Nenda playstore utafute hiyo whatsap web kama utaipata
app ipi ya kununua unaijua yenye feedbak nzuriWhy hacking??? Why getting into somebody's privacy???? Anyway kama kweli Unamaanisha nenda playstore kanunue apps utafanikiwa zoezi lako
Kuna yuko namfahamu alikuwa n app aliitengeneza yeye km unakumbka ilivuma sana .....yupo no zake ukihitaji naweza kukupa mkaongeaapp ipi ya kununua unaijua yenye feedbak nzuri
jina la app kwanza kabla ya namba ya simu ya mtuKuna yuko namfahamu alikuwa n app aliitengeneza yeye km unakumbka ilivuma sana .....yupo no zake ukihitaji naweza kukupa mkaongea
Pm yangu haifany kaz cjui why ......inagoma send message ......ila wasiliana na huyu it technician ndo huwasetia watu 0687882820Ni PM
Nachojua hakuipa jina lolote n sikumbk vizur ndo mn nlitk uongee nae mwenyew ila it's not the case n not my issuejina la app kwanza kabla ya namba ya simu ya mtu
okNachojua hakuipa jina lolote n sikumbk vizur ndo mn nlitk uongee nae mwenyew ila it's not the case n not my issue
Yah ndo nlichofanyascan code zake kwa kutumia simu yako bila kutumia apk yoyote
Okay thank uPm yangu haifany kaz cjui why ......inagoma send message ......ila wasiliana na huyu it technician ndo huwasetia watu 0687882820
Sawa mchk 0Okay thank u
Hakuna haja ya kudownload whatsapp web. Ingia kwenye browser yoyote andika web.whatsapp.com halafu utascan qrcode kupitia simu husika baada ya hapo utakuwa connected na simu kwenye browser.Natumia Simu ya Android ....nataka kudownload whatsaap web ila playstore haipo siioni ...na Google pia inagoma ....msaada plz naomba .......kuna uzi uliwekwa mda kidg kuhusu kuhack simu inabd udownload hii .....msaada mwenye link yke niweze idownload Simu yangu
Yani mi naweza penda sana tu ila mtu uki cross line ya vtu nisivovipenda no way out aisee. Mi kuna chart za mtu nilishika na nilikuwa na hisia maana wengine machale hutucheza mno kwa vtu bila kuambiwa and I was waiting for the moments, kweli nikakuta hzo it was over forever.Unafikiri kuacha kitu cha mchezo ? Labda uwe hujapenda........
Nipo...
Ulichukua simu yake au?Nishaanza ona meseji zake ...n simple sikutegemea
Pole sana ....mtu aweza kukuathir mpka usimuamini tena mtuYani mi naweza penda sana tu ila mtu uki cross line ya vtu nisivovipenda no way out aisee. Mi kuna chart za mtu nilishika na nilikuwa na hisia maana wengine machale hutucheza mno kwa vtu bila kuambiwa and I was waiting for the moments, kweli nikakuta hzo it was over forever.
Yah jpo haiingii online sanaUlichukua simu yake au?
Ila Anzia kesho ntapata vitu vingi hopeUlichukua simu yake au?
Hongera nadhani umeuandaa moyo kisaikolojia usije ukachukia wanawake woteIla Anzia kesho ntapata vitu vingi hope