cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
Tatizo unakute mtu hayuko honest hafu ana mahusiano mengi.Pole sana ....mtu aweza kukuathir mpka usimuamini tena mtu
Tatizo unakute mtu hayuko honest hafu ana mahusiano mengi.Pole sana ....mtu aweza kukuathir mpka usimuamini tena mtu
Hahahaa n kweli ila hii haiko kimapenz zaidi n kwasabb nyngne jpo nataraji ht ishu za mapnz ntaziona ila nachokusudia hasa s mapnzHongera nadhani umeuandaa moyo kisaikolojia usije ukachukia wanawake wote
Okay mkuu all the best in your missionHahahaa n kweli ila hii haiko kimapenz zaidi n kwasabb nyngne jpo nataraji ht ishu za mapnz ntaziona ila nachokusudia hasa s mapnz
Bora awe gf au bf tu ....imagine mke au mume .....au ndo mko ktk process za kufunga ndoa ...dah inauma sanaTatizo unakute mtu hayuko honest hafu ana mahusiano mengi.
Ntaleta mrejesho nkimaliza mission hii ...uzi kabsa ntaandikaOkay mkuu all the best in your mission
Kweli akiwa girl friend au bf hapo hamna shida tatizo ni uchumba serious au ndoa hapo ni majanga, mtu ukiwa committed na kitu inabidi vingine kuviacha tu, na kuheshimu makubalianoBora awe gf au bf tu ....imagine mke au mume .....au ndo mko ktk process za kufunga ndoa ...dah inauma sana
Usisahau kuni tagNtaleta mrejesho nkimaliza mission hii ...uzi kabsa ntaandika
Wengi hawawezi .....cjui tatzo nn ....mungu ansaidie niwe faithful bora ka simtak mtu nimchaneKweli akiwa girl friend au bf hapo hamna shida tatizo ni uchumba serious au ndoa hapo ni majanga, mtu ukiwa committed na kitu inabidi vingine kuviacha tu, na kuheshimu makubaliano
Poapoa usijalUsisahau kuni tag
Basi tu ni lack of self control inawasumbua watu sasa swala la ndoa mtu hajali familia wala matatizo ya ndoa kuvunijika na watoto Ku suffer. Ubinafsi na tamaaWengi hawawezi .....cjui tatzo nn ....mungu ansaidie niwe faithful bora ka simtak mtu nimchane
Sio sabb hack sabb n uaminifu zero for both men n women .........why ucheat ...siumuambie ukweli ulonae akuache kuliko kundanganya .....achilia magonjwa .....me nikigundua nipo n mtu wa hvo sitofanya kitu ila atapay high price ....ntamuonea huruma why kanisaliti sabb maumivu atayopata yeye n Mara kumi alivonicheta
mkuu nahc utaua mtuUnamtag vp mtuUsisahau kuni tag
KweliBasi tu ni lack of self control inawasumbua watu sasa swala la ndoa mtu hajali familia wala matatizo ya ndoa kuvunijika na watoto Ku suffer. Ubinafsi na tamaa
Unaandika @ then jina bila space huku kwangu napata notificationUnamtag vp mtu
Sitofanya kitu binafs ila najuwa akijuwa nmejuwa mipango mm itaharbika ....n si ishu ya kimapnz hasa jpo mapenz hope ntayaona .....ila mungu ajalie asiwe ameshiriki chochte kwenye hii ishu nayoidoubt ....ila naona dalil ...namsktikia sana ataumia sana![]()
![]()
![]()
mkuu nahc utaua mtu
PoaUnaandika @ then jina bila space huku kwangu napata notification
hakuna kitu kama hicho ukiona ipo app yenye uwezo huo haiwezi kupatikana google store labda njezipo nyingi...download app inaitwa spyhuman