Whatsaap web

Whatsaap web

kila kitu unaweza kuhack mkuu ni kujua tu kama account ya Mark watu walihack mmiliki mwenyewe wa fb kikubwa ni kujua tu hapa tunazungumzia account binafsi ya mtu whatsApp naweza hata mimi kukupa maujuzi ila sitaki privacy za mtu lazima zilindwe toa dau uone kama utashindwa hata yako tunahack hahahaha chezea teke linalokujia
Nikitaka kulinda wasap yangu isihackiwe nafanyaje?
 
kweli mkuu unapotengeneza app lazima uweke ulinzi ulinde privacy za mteja ingekuwa rahisi hivyo basi whatsApp isingefaa wengi wangefanyiana mbaya
Sawa n kweli Ila ngja ntaleta mrejesho Ila hii inajulikana sana ...nimeamya kufanya hv kuepusha madhara makubwa yatayonipata bdae .....sabb Hamn njia ya kuepuka ispkuwa hii ya hacking n mungu nisaidie ...ikikataa ntanunua ile kubwa kabsa n s mapnz yanayonsmbua n mengne tu
 
Mi nikijua mtu ana hack kisa mapenzi namuacha maana nikutokuaminiana
Wanawake wengi wanapinga hacking sijui kwanini ...na ukiona mwenzio akufanyia hvi ujue kuna kitu kahisi mfano Simu yko htk mumeo aishike kwann .....wpo wengi wamenusurika sabb ya hii kitu 0
 
Sawa n kweli Ila ngja ntaleta mrejesho Ila hii inajulikana sana ...nimeamya kufanya hv kuepusha madhara makubwa yatayonipata bdae .....sabb Hamn njia ya kuepuka ispkuwa hii ya hacking n mungu nisaidie ...ikikataa ntanunua ile kubwa kabsa n s mapnz yanayonsmbua n mengne tu
kama sio mapenzi kila la kheri
 
Kwanini unataka Ku hack mwenzako?
Ht dini yetu inakataza kumfanyia ujasusi mtu ......"Na wala msichunguzane " ....ila s ujasusi wote n mbaya ....mwngne huiepusha jamii au mtu binafs na madhara makubwa na hakuna njia nyingne ispkuwa hii uweze kujiridhsha kutkn n jmbo hilo .Nipo tayar ntakaposmama mbele YA Allah atapaponihoj why nlimhack mtu ....ntampa strong reasons na bila shaka atakubaliana na mm cna shaka juu ya hilo n him is knowing best
 
Haya bwana
 
Nikitaka kulinda wasap yangu isihackiwe nafanyaje?
Zpo njia uwe unaifuta kila baada ya muda na mfano wa hzo ....kifupi tu wengi wanaohakiwa huwä sabb n mapenz ....bs kuwa faithful kwa mwenzio au achana nae ...coz wachache wanahack kwa sabb tofaut n mapenz ........Na asilimia 97 walotumia njia hii walikuta wenzao wanacheat
 
Wanawake wengi wanapinga hacking sijui kwanini ...na ukiona mwenzio akufanyia hvi ujue kuna kitu kahisi mfano Simu yko htk mumeo aishike kwann .....wpo wengi wamenusurika sabb ya hii kitu 0
Mimi binafsi sipendi hacking naona ni ujinga gani sasa unafatilia chart za MTU ili iweje hivi mtu unafikiri kwa dunia hii waweza tumia simu hasa simu au texts kufanya mawasiliano uwe safe. Mi nikitaka kufanya jambo situmii simu, hata normal charts tu sipendi mtu ajue hata Mimi kufatilia CMU ya mwenzi ctaki.
 
Nahc akikukuta muaminifu hawez tena kukuhack sabb atakuwa keshajiridhsha
Had kuni hack haniamini na Mimi napunguza upendo sasa mtu anafatilia chart zako za marafiki familia, huyo aseme ananipenda, the moments I know it's over, kuishi na mtu usiyeaminiana na Ku move on tu
 
Mimi binafsi sipendi hacking naona ni ujinga gani sasa unafatilia chart za MTU ili iweje hivi mtu unafikiri kwa dunia hii waweza tumia simu hasa simu au texts kufanya mawasiliano uwe safe. Mi nikitaka kufanya jambo situmii simu, hata normal charts tu sipendi mtu ajue hata Mimi kufatilia CMU ya mwenzi ctaki.
Ili agundue mke au mpnz n muaminifu yann kudanganyana ....ypo alonusurika ukimwi sabb ulikuwa hacking
 
Had kuni hack haniamini na Mimi napunguza upendo sasa mtu anafatilia chart zako za marafiki familia, huyo aseme ananipenda, the moments I know it's over, kuishi na mtu usiyeaminiana na Ku move on tu
Me binafs swez fatilia chat zako ikiwa nakuona n muaminifu na tuko vizur ....ispokuwa kuna viashiria Mtu anaviona so inabd ajiridhshe ..it's like uwe n homa kichwa kuuma n mfano wa hyo ...lazma utaenda upima ujue n malaria au nn ...so even hacking n kipimo baada ya kuona dalil za maradh yaitwayo ukosefu wa uaminifu .........haswa ikiwa muhusika anabisha ....ngekuhadithia kisa changu ila bs
 
Ndo mana mahusiano yanakufa sikuhizi
Sio sabb hack sabb n uaminifu zero for both men n women .........why ucheat ...siumuambie ukweli ulonae akuache kuliko kundanganya .....achilia magonjwa .....me nikigundua nipo n mtu wa hvo sitofanya kitu ila atapay high price ....ntamuonea huruma why kanisaliti sabb maumivu atayopata yeye n Mara kumi alivonicheta
 
Back
Top Bottom