Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
Me ni muandishi mzuri wa mistari ya Hip hop...
Sawing. . .
Knitting. . .
Writting(lyrics, poetry, hadithi, tumakala n.k). .
Cooking. . .
Singing. . .
Playing piano. . .
. . . . .na nyingine nyingine.
...ivi sjui iki nilichonacho nikipaji?...ngoja kwanza!
hongera zako,mi kipaji changu bado sijakitambua and i'm in mid thirties
Kucheza kiduku...
talent yangu? Haiandikiki.......
Please somebody show up with a talent ya ku play a guitar..!
Unataka kujifunza kuplay guitar?
nimekugongea like...ivi kiswahili hakijitoshelezi eeh?So u know how to play a piano? Mimi napenda sana kupenda kujifunza kuplay a piano but sijabahatika kupata mtu wa kunifundisha. Would mind if ukinifundisha kuplay piano?
nimekugongea like...ivi kiswahili hakijitoshelezi eeh?
Yah.. Natafuta mwalimu.