TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,514
- 11,277
Wakuu kuna wimbo sijui tittle wala waimbaji wake lakini mashairi yake ni haya:
Nilikupenda sana oo, mfaano wa maua o
Lakini hupendeki oo, bora sasa uende
Niimechoka oo, hakika sijiwezi
Kuishi tena mi nawewe, ingawa nakupenda
Ingawa rohoni..... namwomba Mola anisaidie
Niweze kukusahau kabisa
Nipate mwingine kushinda wewe