Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #161
BURELL OSLO....................Naamini hili ndo jina lake... au?
Mwambie atemane na wewe asikusumbue bure binti wa watu.................LOL
Hahahaaaa
Mi sitakimbia na sitanyamaza kusema ukweli Lol
Kwanza namshangaa haogopi hata kusema haya mbele ya Uporoto....Kisa Uporoto kasafiri....Mh
Mwite mwambie namngoja hapa...km siko online ani sms ntalogin
nisharudi dear wii
Usisahau hapa ni Chit-Chat.......
Hahahaaaa kama una jeuri anza na huyo anayekuletea longolongo....thank you my lovely wifi.Huyu ricky ntamgeuza jinsia wee muache tu
Napambana kwaajili yako wii, napenda uwe na tabasam muda wote.. Kakako ( missing him so much jamani) hajakosea kunichagua ati..thank you my lovely wifi.Huyu ricky ntamgeuza jinsia wee muache tu
Weeeee nani akimbie?Umerudi erick nae kakimbia, kumbe ni fisi eeh?
Ila na wewe wifi humtendei haki uporoto,dah
Ujue Erick anasema ukweli tukubali tu....
Napambana kwaajili yako wii, napenda uwe na tabasam muda wote.. Kakako ( missing him so much jamani) hajakosea kunichagua ati..
Hahahaaaaaaa mwite aje aone uchafu wako....mtoto hushikiki kama TIARA....Lol sijui tukufanyaje utulieuporoto my huby anajua everythng about this man so am secure wit my marriage
Hiyo quote ya juu sio yangu, khaaa umenilisha maneno sikubali, tena acha kunichonganisha na my wii..Halafu we ndo mnafiki sana.....Unajifanya wifi wifi....Lol then unamponda!
Aharibikiwe kwa lipi jipya?Weeeee nani akimbie?
Mi siwezi kumkimbia Kaby....Nimkimbie wakati natakiwa kumsaidia?
Siunajua nisipomsaidia atazidi kuharibikiwa?
Hehehe, bora umkumbushe..
Nampigia kaby akuje kujibu hizo tuhuma nzito ulizomtwisha wala hapokei. Konyagi zitakuwa zimemzidia.
Hahahaaaa utajijuHiyo quote ya juu sio yangu, khaaa umenilisha maneno sikubali, tena acha kunichonganisha na my wii..
Uko na shemeji au nije kukuchukua?wifi ntazima baada ya dakika tano
Hahahaaaa utajiju
Dah ina maana unasema yeye hakuna jipya la kumharibu?Aharibikiwe kwa lipi jipya?
UnDO....Khaaa!.. Sikubali..
Hahahaaaa mwache azimike ndo atawajua watoto wa Unga Ltd walivyo...anajifanya kasahau eeeeUko na shemeji au nije kukuchukua?
Zimika niko hapa Metro nakuja kukuchukua.....dk 5 ntakuwa hapowifi ntazima baada ya dakika tano