Whats wrong with you?

Whats wrong with you?

Honey nimesha mjua, forgive him please. basi, namuombea msamaha...
 
Huyu hupaswi kumwombea msamaha kwa kuwa mi nimemwombea mara nyingi ila kesi zake bado haziishi tu
yan kila siku anakuja na jipya....utasikia kapora mpenzi wa mtu mara kaachwa..lol
 
ricky una mambo kweli.na wewe kwani unamjua?
 
Ahhhh pole nwaya.
Kakufanya nini tu?
Mmbakishe kiporo mpaka weekend kwa sasa
usimpe muda wako ...

anataka kuamsha vilivyolala, na ni bora nimempa vidonge vyake chaaa w'end na appointment sitaki kuongelea huyu mchafuko.
 
Hahahahahaha
Hopefully anauwezo wa kuvimeza.
Nimepitia phone book yangu bado natafuta hilo jina lake ..lolz
 
lipo hilo hapo la tano dear!ukimuona niambie maana bado kuna kiporo chake kinatakiwa kimalizike leo.
 
Dahhh. Yaonekana atajuta kuzaliwa baada
Ya we kumali zana naye .. aaahhhh well mi
Niwaachie uwanja.
 
sawa mamie ngoja nijiandae nikafanye shoping ya marungu na mapanga incase he shows up at my door.
 
Back
Top Bottom