Whats wrong with you?

Whats wrong with you?

BURELL OSLO....................Naamini hili ndo jina lake... au?
Mwambie atemane na wewe asikusumbue bure binti wa watu.................LOL

hahaha hye mr.mtambuzi umejuaje?ndo yeye huyo!
 
Hahahaaaa
Mi sitakimbia na sitanyamaza kusema ukweli Lol
Kwanza namshangaa haogopi hata kusema haya mbele ya Uporoto....Kisa Uporoto kasafiri....Mh
Mwite mwambie namngoja hapa...km siko online ani sms ntalogin

uporoto my huby anajua everythng about this man so am secure wit my marriage
 
Wenye majina ya kuishia na L matumbo yalikuwa moto, afadhali ulivyomalizia na la mwisho O.
Pole Kb!

 
thank you my lovely wifi.Huyu ricky ntamgeuza jinsia wee muache tu
Napambana kwaajili yako wii, napenda uwe na tabasam muda wote.. Kakako ( missing him so much jamani) hajakosea kunichagua ati..
 
Back
Top Bottom