Whats wrong with you?

hehe ndo maana nakupenda wifi eti ricky hajaelewa ndio maana alimwanaasha form 4 na 6.
Yaani wifi Erick alifeli mpaka mtihani wa mafundisho ati.

Mie pia nakupenda wifi angu ndio mana nipo hapa na wewe!
 
hahaha basi hata wa birthday alifeli,khaa hata sijui amy anamuwezaje.
 
kuna mtu kamkera mjukuu wako mpaka kamfanya aanze kunywa konyagi asubuhi asubuhi.
Hebu peana mimi jina lake uone ntakachomtenda. Nikihamishia kojoleo lake usoni itatosha? Au na kinyeo nikihamishie kisogoni mwake?
 
mhhhh babu una maneno khaa nakuPM sasa hivi his full name! Mfanye uonavyo ni sawa kwako.
 
Hahah nimfanye nionavyo? Hivi sheria ya Dave Cameron ilishapitishwa? Nikifungwa uje uniwekee dhamana....
 
Dedicating u the song..'' SONGA MBELE'' by alpha
 
Hahah nimfanye nionavyo? Hivi sheria ya Dave Cameron ilishapitishwa? Nikifungwa uje uniwekee dhamana....

ishapitishwa mbona?ingawa ni kimatendo zaidi! Wala usihofu nitakuwa na konny kukuwekea dhamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…