what's wrong with this picture part 4

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
04.JPG
 
Hivi Invisible ukisoma comments kama hizi unajisikiaje?

kwa nini wengine unawafungia na wengine unawaachia?

anyway nia yangu ilikuwa ni kupoint out kuwa sisi tuna matunda ya kila namna na nadhani Bakhressa anasindika matunda ambayo ni ya Tanzania

Iweje tunakunywa juice za kopo tena toka South Africa?

Viongozi wetu inabidi waanze kukemea hii tabia ya wao kupendavitu vya nje...wanatakiwa wawezeshe viwanda vya ndani na kupromote bidhaa zetu
 
Hawa ni wajumbe wa kamati ya kudumu kutoka zenji. Walivyovaa sio ishu maana ndio utamaduni wao, so hakukuwa na haja ya kuhusianisha na imani yao. Very unfortunate hatukuona kitu ambacho mwenye post alitaka tuone, we are not attentive 2 detail.
 
Hivi Invisible ukisoma comments kama hizi unajisikiaje?

kwa nini wengine unawafungia na wengine unawaachia?

anyway nia yangu ilikuwa ni kupoint out kuwa sisi tuna matunda ya kila namna na nadhani Bakhressa anasindika matunda ambayo ni ya Tanzania

Iweje tunakunywa juice za kopo tena toka South Africa?

Viongozi wetu inabidi waanze kukemea hii tabia ya wao kupendavitu vya nje...wanatakiwa wawezeshe viwanda vya ndani na kupromote bidhaa zetu

If you see a comment that need to be flagged please flag it so MoDs will be able to take proper action. Invisible does not read every single post by every member 24/7. This applied to everybody else.
 
mmmmh uhuru wa watu usiingiliwe...... mtu avae atakavyo ili mradi asivunje sheria wala asimomonyoe maadili!

kuhusu swala la dini mie simo....
 
This is a problem with this picture - Pamoja na matunda yalipo Unguja lakini kwenye "High Table" unakutana na "Proudly South African"! Shame on us!
 
Attachments

  • Ceres.JPG
    Ceres.JPG
    11 KB · Views: 121
mi naona jamaa aliyevaa shati jeupe wa kwanza kushoto anaangalia kisosa cha mheshimiwa tu
 
mimi naona sawa tu mtu avae atakacho ili mradi asivunje sheria za nch wala kumomonyoa maadili.....................................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom