what's wrong with this picture part 4

jamani mi nasema hivi kila nikiingia jamii photo kutizama yaliyopo ntakuta watu wamepost vic.upi wamepost vimini wasifia ma..t.ko ,,wapost sijui nini lakini leo kuyu aliepotea njia maskini kupost hawa wakina mama wenye heshma zao imekuwa keroo kwa kila mmoja wengine wauliza hao wako msikitini au ofisini wengine wasema sijui yaani maneno yamekuwa tele hakuna aliesifu hata mmoja kwanini??? au kwasababu wamejiheshimu?? mnavyopenda ni kuwa wavae mini??? msifanye hivyo shauri yenu lakini..
 
nilhamu huyu alikuwa anamaanisha hii juice
This is a problem with this picture - Pamoja na matunda yalipo Unguja lakini kwenye "High Table" unakutana na "Proudly South African"! Shame on us!
 
mimi naogopaga juice na vyakula vyenye maandishi ya kiarabu. kila ukila, hasa mwanaume 'spidi' inapungua.
 
yap nimekubali lakini na hao wengine wanao wasema hao mama wa watu umewaona lakini mi hicho ndio hakikunifurahisha baas,,lakini kila mtu hobbies zake huwezi kumsemea mwenzio,,,
nilhamu huyu alikuwa anamaanisha hii juice
 
dada aliyetupa mgongo mbele yake kuna glass ya juice na chupa maji ( tofauti ya mpangilio )
 
Jamaa aliketi upande wa kushoto anamezea mate sana hizo biskuti na karanga
 
Haya Mazungumzo yatakuwa yanamna gani sijui, sababu hakuna mtu hata mmoja ana take notes,
nadhani hakutakuwa na action points baada ya kikao, na watachukua seating allowance kama sikosei?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom