Whats wrong with this picture part 3

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
DSC03009.JPG

MICHUZI
What's wrong with procurement huko Jeshi la polisi?

Is this how we dress polisi wetu?
 
Du navyojua Majeshi yetu ndio yanaongoza kwa kuwa na wavaaji watanashati [Smart in Dressing],Lakini mchanganyiko huo wa rangi du,sio sawa watu wa ugavi,manake mnaposema sare [uniform] manake ni kufanana,jamani picha hii Jeshi letu alifanani hata kidogo kwa rangi hizo. Wanaonekana kama kikosi cha ulinzi wa mageti ya raia huku mitaani. Please acheni kulishushia hadhi Jeshi. Kwani uanza kidogo kidogo hatimae inakuwa shati jingine kwa rangi na Suruali nyingine.Wagavi kitambaa Rangi moja sio Rangi mbaliambali, kama mgavi aliona namba za rangi hizo daima azifanani ingawa zinaukaribu ni rangi tofauti sana.[Kuna Bluu, kuna Bluu bahari, Bluu nyeusi nk]
 
Tatizo ni kuwa everything is WRONG

kuanzia kofia zilizokuwa zimechakaa na ambazo si size zao mpaka uniform ambazo not only ni OVER SIZE lakini zinaonekana kama vile ni za askari za COLONIAL ...tena wa enzi za Kings African Riffles

Sijapata bahati ya kuona viatu vyao lakini sitoshangaa kama si rubber shoes

Tatizo bado liko kwa PR wa Jeshi
 
Mkuu.. una uhakika nguo ni over size na sio kwamba askari ndio under size? :)
 
CCM inatumia mamilioni kuingiza apparels, katika kampeni na kwenye PR exercises zake in general.... pamoja na kuwa ni rangi mbaya, lakini styles na sizes zinakuwa zinawafaa wanaovaa. Kwanini serikali ya CCM isitumie ujuzi wake kwenye magwanda yake katika kuboresha mwonekano wa nguo za askari wetu?? Walau basi hizi za ceremonial zionekane zimeenda shule...

Waziri kivuli wa wizara husika naye aongelee hili swala. Yaani nguo za askari wetu zinaonekana kama ni msaada baada ya janga fulani hivi, ambapo sizes za nguo zinakuwa hazina umuhimu tena??!!
 
Among other reaseons mentioned above, hizi zinaonekana more than three years old. Kauka nikuvae. Inaoekana kasi ya kuloose weight ni kubwa katika jeshi la polisi (may be kutokana na ugumu wa maisha) kiasi kwamba sasa uniform inawapwaya; lazima waonekanae sio smart.
 
teh teh teh aaaaaaaah

ama kweli hii ni tanzania yetu, na hawa ni polisi wetu!!
 
Kila mtu anaangalia upande wake, hatua tofauti...

kila mtu kuangalia upande wake ndo utaratibu wa parade km ww hukupitia JKT pole sana,hao wanaoangalia mbele wanaitwa right markers ndo wanaoongoza wenzao wasikosee dressing ya parade
 
Mmelielewa swali? Nadhani the photographer was shaking and used a camera with less than 8Megapixells.
 
ILA HATUPO SERIOUS KATIKA MAMBO MENGI, cheki hii hapa huyu mwandishi anasema HAJAWAHI KUONA VITU OVYO OVYO KAMA HII, HILO NENO OVYO OVYO LIMETAFSIRIWA KATIKA LUGHA ALIYOANDIKIA KWA KISWAHILI NIMEPATA HILO, ASKARI HAWA HAWAPO SMART, HAWAJAJIPANGA INAVYOTAKIWA, HAWANA KANUNI MAALUMU WAPO WAPO TUUU, ANGALIA KOFIA ZAO, KILA MTU KAVAA ANANAVYOTAKA , YAANI HATA ASKARI WA KIKE YUPO RAFU RAFU, TUNACHEKWA NA NDIO MAANA TUNADHARAULIKA, VITU VINGINE SIO SERIKALI NI WATU WENYEWE HAWAJIJALI, au serikali imefanya watu wake wasijiali? hii ilikua wakati wanapokea meli ya kivita ya kichina juzi juzi dar
LINK HII HAPA http://blog.sina.com.cn/s/blog_53b718000100qyb7.html

53b71800h76716f5d89fd690.jpg

53b71800ha06e49901616690.jpg

53b71800ha06e5360552b690.jpg

53b71800ha06e42460e88690.jpg

48299164.jpg

[FONT=&#40657;&#20307;] <WBR><WBR><WBR><WBR><WBR><WBR>[/FONT]​
 
Kama matundu manne ya choo yaligharimu milioni 700 huko Kiromo, sitashangaa ni kisikia gharama ya gwanda moja ni mara tatu zaidi ya gharama ya gwanda moja hapo chini.Kiwango cha material ni duni,coton lakini utadhania ni silk.

camouflage_uniforms.jpg
 
Among other reaseons mentioned above, hizi zinaonekana more than three years old. Kauka nikuvae. Inaoekana kasi ya kuloose weight ni kubwa katika jeshi la polisi (may be kutokana na ugumu wa maisha) kiasi kwamba sasa uniform inawapwaya; lazima waonekanae sio smart.
Kama ushonaji wenyewe ndio huo na kiwango cha kitambaa kitakuwa ni duni pia, ukifuwa rangi inayotoka hapo usipime.Inawezeka hayana muda mrefu yamefubaa kutokana na kufuliwa.
 
Wajeshi hawa wanaonekana hawajafundwa vyema nikama wanatoa heshima fulani kulia kwao lkn cha ajabu kila mmoja katizama anakojua yy.
 
ILA HATUPO SERIOUS KATIKA MAMBO MENGI, cheki hii hapa huyu mwandishi anasema HAJAWAHI KUONA VITU OVYO OVYO KAMA HII, HILO NENO OVYO OVYO LIMETAFSIRIWA KATIKA LUGHA ALIYOANDIKIA KWA KISWAHILI NIMEPATA HILO, ASKARI HAWA HAWAPO SMART, HAWAJAJIPANGA INAVYOTAKIWA, HAWANA KANUNI MAALUMU WAPO WAPO TUUU, ANGALIA KOFIA ZAO, KILA MTU KAVAA ANANAVYOTAKA , YAANI HATA ASKARI WA KIKE YUPO RAFU RAFU, TUNACHEKWA NA NDIO MAANA TUNADHARAULIKA, VITU VINGINE SIO SERIKALI NI WATU WENYEWE HAWAJIJALI, au serikali imefanya watu wake wasijiali? hii ilikua wakati wanapokea meli ya kivita ya kichina juzi juzi dar
LINK HII HAPA http://blog.sina.com.cn/s/blog_53b718000100qyb7.html

53b71800h76716f5d89fd690.jpg

53b71800ha06e49901616690.jpg

53b71800ha06e5360552b690.jpg

53b71800ha06e42460e88690.jpg

48299164.jpg

[FONT=&#40657;&#20307;] <WBR><WBR><WBR><WBR><WBR><WBR>[/FONT]​

samahani picha ya chini haihusiani na magwanda na kofia za maafande wetu
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom