Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,851
Sure mkuu namjua huyo mtoto nlkua nae jana ... Hapend kula kabisaKama wewe![]()
Sure mkuu namjua huyo mtoto nlkua nae jana ... Hapend kula kabisaKama wewe![]()
Ni kweli jibu hapo ni saa tu hakuna kitu kingineok boss, ila bado niko pale pale kwa jinsi ulivyoikopy tatizo liko kwa saa, 😎😎
Na zinakua na hiyo stop watch, em assume saa haipo, itazame useme tatizo nini...Ni kweli jibu hapo ni saa tu hakuna kitu kingine
Ukiangalia 7 seconds riddles zingine jibu ni moja tu na ujibu kwa sekunde 7 hiyo ndio najua mimi
Bila hivyo tutakesha hapa

Hahaha kama saa haipo hapo hakuna mtihani hapoNa zinakua na hiyo stop watch, em assume saa haipo, itazame useme tatizo nini...![]()
![]()
Hahaha kama saa haipo hapo hakuna mtihani hapo
Saa imesimama haitembei
Saa ni Mbovu.
4:20 am watoto bado wamelala na kama 4:20pm ndio wapo kwenye school bus kurudi majumbani. Pia kama itakuwa weekend sio muda wa kula 4:20
Ndukiiiii♂️
♂️
♂️
hilo jagi kama halina kitu
hiyo meza ni dhahabu
Saa ina mshale mmoja tu haina mshale wa sekunde wala dk
saa ina mshale mmoja tu wakuonyesha dk hamna ule unao onyesha saa naule unao onyesha sekunde
Hao wa katikati wanatumia mkono Wa kushoto kula
Hiyo ni stopwatch haiwezi kuwekwa ukutani
Nime solve kwa 2 seconds
Angalia saa kiongozi utagundua hakuna muda wenye mshare mmoja hivyo haijulikan no saa ngapi
paka amenuna hajawekewa chakula,wakati wengine wote Wana nyuso za furaha
Hapa issue ni saa kuwa na mshale mmoja tu! Hamna kingine! Swala LA jug kuwa empty ni graphics tu, ni sawa na kusema mbona nywele ni za njano! *saa ina mshale mmoja*
saa ni ya ukutani,ila imening'inizwa hewani.mazingira ya picha ni ya nje
SolvedHahaha kama saa haipo hapo hakuna mtihani hapo
Vikombe vipo vitatuAkyanani![]()
![]()
Sasa mkuu kama unalijua tatizo si useme tu mambo yaishe. Tupo bize kwenye kampeni wengineUmepataKuwa vitatu ndio tatizo?
Vichwa vimevurugwa mkuuahhaaa ila kuna wadau wana vituko![]()
![]()
![]()
Umeona ee, mwingine huko juu anatuambia eti mama hana chura
churaaa ahahaa