What's wrong here

What's wrong here

Hapa issue ni saa kuwa na mshale mmoja tu! Hamna kingine! Swala LA jug kuwa empty ni graphics tu, ni sawa na kusema mbona nywele ni za njano! *saa ina mshale mmoja*
 
Naomba usome post namba 41, mimi ndio nilioleta hii riddle unavonibishia inamaana wewe ndie unaetaka kutunga riddle yako mwenyewe...

Purpose ya hii riddle ni kuidentify hilo la jagi na si kingine...
 
saa ni ya ukutani,ila imening'inizwa hewani.mazingira ya picha ni ya nje
 
Soma hapa
saa ni ya ukutani,ila imening'inizwa hewani.mazingira ya picha ni ya nje
Hapana
 
Na mchoraji amesahau kuweka vivuli(shadow) vya hao watu Na paka.ni kivuli cha meza tu ndiyo kinaonekana
 
Haha aisee, kwa chanzo kipi cha mwanga hapo?
 
Naomba usome post namba 41, mimi ndio nilioleta hii riddle unavonibishia inamaana wewe ndie unaetaka kutunga riddle yako mwenyewe...

Purpose ya hii riddle ni kuidentify hilo la jagi na si kingine...

ume i COPY sio?
 
ok boss, ila bado niko pale pale kwa jinsi ulivyoikopy tatizo liko kwa saa, 😎😎
Tatizo lipo kwenye jagi, tofautisha saa na stop watch, saa ya ukutani haina izo batani za kubofya..

Pia angalia kivuli hizo ni sec zilizokwisha katika
... Hakuna ukuta wa sakafu hapo.. Acha kukaza fubu mkuu
 
Back
Top Bottom